Recent content by Dransfield

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mafundi pikipiki

    ndio ni kwel mkuu nimetamani sn kujifunza kwa wataalam (mafundi) basic kwan nataka kuwa fundi kabisa kweny pikipiki naona kwa upande wangu sio vizur kuanza mwenyw bora nipate uzoefu kidogo ndio alafu siko vizur pia ss kama vijana tunapambana tu kwa ss nimeona niwekeze kweny ujuzi sn kuliko...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mafundi pikipiki

    wakuu bado naomba msaada wenu nataka kuanza safar yangu hii naomba sn kwa yoyote nipate fursa hyo naahidi kuto kumwangusha kwan mm ni mwaminifu nitakubali kulipa hata kitu kidogo niwezeshwe naombeni sn msaada wenu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mafundi pikipiki

    kweli nashukur sn kwa mawazo mkuu naamini safar ni atua namini nitafika tu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mafundi pikipiki

    Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu. Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

    tafuta series inaitwa bashee
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    bora wanunue ndege ndogo kwaajili yake sio Airbus kubwa anapanda peke yake naona abaki tu dar kwakua ndio kila kitu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

    ni njia nzur yakutoka kwenye addiction usikate tamaa kama utarudi kidogo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni roho mbaya

    Kubwa naona watu wanaroho mbaya kutokana na wao kufanyiwa hyo yan hawakupata kirahisi au chuki moyoni labda alifanyiwa hyo na wengine ni hulka na choyo binafsi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Kwa hiyo mambo yamekaa vizuri au dawa haijawaingia vizuri
Back
Top Bottom