KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,175
- 56,765
Utarudi tu..🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo ulipo nimewahi kuwepo pia, kwahiyo nazielewa pande zote mbili vizuri.
Zaidi nawaombea wengine wote wapate uongofu ingali bado wapo hai.
Utarudi tu..🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo ulipo nimewahi kuwepo pia, kwahiyo nazielewa pande zote mbili vizuri.
Zaidi nawaombea wengine wote wapate uongofu ingali bado wapo hai.
Simu hakuiumba physical ila aliiumba kwenye akili ya mtu,kila kitu anachokupa angetaka tukitumie vyema na si kwa mauchafu.Kwani Mungu wakati anaimba simu zilikuwepo?
Kwanza hawezi kukuuliza mambo ya simu wakati alipotuumba hazikuwepo,
Zinakaa wapi sasa?hivi mpaka leo kuna watu wanakaa na picha za ngono kwa simu duu, mimi tangu niko secondary sijawahi kuweka hizo mambo ya simu mpaka leo na haitakaa itokee zikae kwenye simu yangu.
hazikai sehemu sababu niliacha kuangalia tangu mwaka juzi pia nilikua nastream tu siwezi weka kwa simu.Zinakaa wapi sasa?
Mi najua kila kitu kina faida na hasara, kwani hizo picha na video hazina faida ni hasara tu?ulikuwa unawezaje kuweka porn kwenye simu. nshafanya ujinga lakini huu sijwai ufanya.
Then take it as instinct and avoid them.Hahahaha mkuu hio haibadiliki kwasababu simchukii kila mtu inatokeaga tu mtu moyo unamkataa...yani mi sioni sababu hata, najiulizaga kwanini nikae nazo...nakosa sababu kabisa ndo mana nawashangaa wenye nazo