Recent content by dramaqueen1

  1. dramaqueen1

    Naipenda hii "BAD LIP READING"

    H Sent using Jamii Forums mobile app
  2. dramaqueen1

    Naipenda hii "BAD LIP READING"

    H Sent using Jamii Forums mobile app
  3. dramaqueen1

    Naipenda hii "BAD LIP READING"

    Napenda video zake zinafurahisha. Ni actual original videos Ila maneno sio original yaliyozungumzwa kwenye tukio. ni sauti na maneno ambayo yanapandikizwa kwa kuangalia matendo na midomo ya mzungumzaji kisha wanareplace neno original na neno lingine linaloendana na tendo na midomo inavyoenda...
  4. dramaqueen1

    Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

    Ukimsikiliza rafudhi ya Kikongo ipo vizuri tu ila sema yupo makini katika Kuzungumza Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dramaqueen1

    Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

    Sijawahi kupenda superhero movies, niliyoangalia ni Amazing spiderman na Spiderman homecoming basi Umesema kuwa Tom Holland ni Free mason?! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. dramaqueen1

    Kama unahitaji huduma yoyote kuhusu ujenzi au ushauri karibu

    Nimeuliza kwa niaba yangu. Utajuaje sasa huenda pia nina ukwasi au nataka nijiandae kisaiklojia So inamaana hawa wanashughulika na nyumba za kawaida. Okay.
  7. dramaqueen1

    Kama unahitaji huduma yoyote kuhusu ujenzi au ushauri karibu

    Nyumba Kama hi I kila mojawapo itagharim sh. Ngapi?
  8. dramaqueen1

    Barua ya Albert Einstein kumhusu Mungu yauzwa kwenye mnada kwa bei ya $2.9m(£2.3m).

    Shetani hutumia wasomi sababu wanaaminiwa na watu. Mungu hutumia viumbe dhaifu na kuwapatia nguvu ili waguse imani za watu
  9. dramaqueen1

    George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

    RIP. Jina maarufu sana miongoni mwa marais wa USA. Jimmy Carter nae muda wake unahesabika maana umri ushaenda pia
  10. dramaqueen1

    Wadada muwe mnakubali mnapokatazwa/mnaposhauriwa na wakubwa zenu, viburi na ukatili wenu unagharimu maisha yenu.

    Huwezi kuacha kuishi Leo kwa kuhofia kesho usiyoijua. Marriage is overrated in Africa/Tanzania. Sound like a big deal huh! Yeah Bora talaka kuliko kuishi kwenye toxic relationship ili mradi uonekane umeoa/olewa( hii ni kubwa sana Africa sababu ya ignorance) Jitu kuuubwaa limemaliza chuo bado...
  11. dramaqueen1

    Uhalisia wa mama mjamzito kumchukia 'mumewe'

    Kwa hiyo mama akipendwa kitoto kikaona wivu kinamtumia mama kumkasirikia baba.
  12. dramaqueen1

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Ujue makubwa ili iweje. Haya yenyewe unayoyajua ni kutokana na shetani. Kujua mengi ni mwanzo wa kuasi na kutokuwa na amani.
  13. dramaqueen1

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Yanapingana kutokana na akili zetu zilipokomea. Ila mi nimejikaza nikatafsiri kuwa ' akikunyang'anya kalamu yako chukua ya kwake kisha mnunulie chai mpe na maji ya kuoga' hapo hujawa rude, umekuwa fair.
  14. dramaqueen1

    Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Ya kwangu mwenyewe
Back
Top Bottom