Hivi hii Nchi awa viongozi mliowachagua huwa wanakurupuka sana, kutupelekesha kama mabwege sana. Uyo sijui Ndalichako kwanza hajielewi huo uProfesa nna wasiwasi atakuwa kaiba kama wanavoiba kura maana upeo wake wa kufikiri ni mdogo sana. Sasa anadai eti wanafunzi wakipewa boom wanakunywa pombe...
Alafu ushaiita bamia inakuwaje uiite mashine tena!? Mashine huwa inafanya kazi effectively bila kukosea. Ila kuna dawa mdogo wangu za kuongeza icho kibamia ila be ready incase of side effects....,
Hii Serikali wanakurupuka sana... Walidhani GPA ya 3.5 kila chuo inapatikana kiurahisi... Kila mtu ana kichwa chake huwezi kuweka gpa ya 3.5 ni kubwa sana especialy kwa chuo kama IFM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.