kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
Hakika swali juu ya kubadilika kwa vigezo vya kujiunga chuo kikuu baada ya ma badiliko ya kutoka GPA ya 3.5 hadi 3.0 limenifanya niwe makini sana kujua majibu ya serikali.
Lakini majibu ni kwamba waliweka GPA ya 3.5 kutokana na ufaulu kuwa mkubwa lakin baada ya kuwakosa wakaona washushe vigezo hadi 3.0.
Swali langu..
Hapa swala ni ubora wa elimu au idadi ya wanafunzi wanaotakiwa vyuoni?
Na kwa sababu watu walisha kata tamaa na wakajikuta hata pesa walizojiandaa kwa ajili ya masomo walishafanyia mambo mengine, je ni lini sasa serikali itaacha kuleta mikanganyiko ya aina hii kwa watu wake?