Mimi mwenyewe nasugua Benchi mwaka sasa Ila Niko poa Sana Tu, wenzangu wote waliojipendekeza wanakula kuku Ila ukiwaona hawana furaha[emoji16][emoji16][emoji16].
Moyo Una Amani na ngozi imejaa mafuta. Kuna mtu alicoment Kwa kidhungu "Uwepo usiwepo Nitashaini Tu, unipende usinipende huwezi...
Napata shida kuona jamaa anashambuliwa kiasi hiki, tuna mifano mikubwa tu ya wasomi tena wamepitia kwenye vyeo vikubwa lakini walipoenguliwa tu, walilalama. Wengine wametoka majalalani juzi tu hapa. Wengine waliwaji ondolewa pale Morogoro Hadi wakasali sala ya Bikira Maria
Kiufupi ukizungukwa...
Huwezi Leta Mada inayohusu mtandao wa Serikali tena unaohusu pesa, unataka mtandao udukuliwe? Kutaja udhaifu Ni kutoa mwanya Kwa wale wasio na nia njema wapi wanaweza kufikia
Uzoefu na Changamoto zinatatuliwa kwenye semina elekezi
Umeongea point Sana KIONGOZI, Ile kitu lazima usome kweli kweli Kwa sababu unaenda kufanya kazi na high Intelligent people a.k.a Market Maker.
Huwezi. Pata. Pesa bila kunua Marke Marker Methods. Kiufupi Mimi napenda na nilichukua miezi Sita kusoma tu bila kufanya chochote, nilipoanza Mengi...
Kwanza kabisa naomba nijulikane sipo upande wowote wa kisiasa, Ila naomba nimwelezee pole pole kidogo kulingana na upeo wangu mdogo
Pole pole ni MTU wa kupiga kazi kimya kimya hasa kwa siku za hivi karibuni hasa baada ya kupata UDC Ubungo, alikuwa anapenda kufanya mambo kimya kimya pasipo...
Kitu kingine, wanaume tujitahidi kusimamia kucha, haya mambo ya kula kuku asiye na baba, matokeo yake ndo haya
Ukiona mwanamke anachepuka, basi ujue kuna shida kwa dume lake, ni Mara chache sana mwanamke kuchepuka wakati ndani anapewa dozi safi na mshindo anafika. Piga kaziii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.