Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michael Bosco, Nov 13, 2012.

 1. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #1
  Nov 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Bila shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao wawe wanasarakasiyaani wawe wepesi wa viungo.
  Leo nitazungumzia staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa na panapomajariwa nitazungumzia staili nyingine ambazo kila mmoja wetuanaweza kutumia katika majambozi kumpagawisha mwenza wake.
  Kuinama: Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia ama kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukumatumbo lake.
  Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni lazima mwanaume asiwe mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni moja kati ya sehemu kuu ya mwanamke inayoamsha hamasa ya mapenzi na msisimko wa ajabu unaompelekea mwanamke yoyoteyule kufika kileleni!
  Hivyo, mwanaume hapa lazima ahakikishe anatumia mkono wakekumshikashika mpenzi wake kinena ili kumhamasisha kimahaba, lakini wakati anamshika mwanamke sehemu hiyo lazima ahakikishe vidole vyake si vikavu kwani endapo vitakakuwa havina unyevunyevu basi lazima mwanamke ataumia mara baada ya kupapaswa navyo katika kinena kwani kinena kimefunikwa na ngozi laini hivyo mwanaume anapaswa kuhakikishwa vidole vyake haviwi vikavu ili kumwezesha kuaamsha hamasa yake ya mapenzi.
  Kukaa: Mwanaume anakaa kwenye kiti kisha mwanamke anakaa kwenye mapaja yake, hapa uume wa mwanamke hautaweza kuingia wote hali itakayomfanya mjamzito asiumie na mjamzito mwenye mimba ya miezi 8 hufurahia zaidi staili hii kwani ikumbukwe kuwa katika kipindi hiki mtoto huwa tayari ameshuka, mwanamke huonekana kuchoka na kuelemewa na tumbo.
  Hivyo kwa kuwa mtoto huwa ameshuka mwanamke husikia maumivu sana pindi mwanaume anapotumia staili Fulani Fulani ambazo humpa nafasi ya kuingizauume wake wote kwani motto huwa ameshuka hali inayopelekeakusukumwa na uume wa mwanaume pindi unapoingizwa na hivyo kumsababishia mwanamke maumivu.
  MUHIMU:
  Ni kweli katika kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujisikia kuchokachoka sana hali inayowafanya wasipende kushiriki tendo la ndoa, lakini hali huwa tofauti kwa wanaume wengi pindi wapenzi wao wawapo wajawazito kwani ni kipindi ambacho mwanaume hufurahia sana kushiriki tendo la ndoa na mjamzito kutokana na ukweli kuwa katika kipindi hiki mwanamke huwa na joto lakutosha sehemu zake za siri, joto ambalo humfanya mwanaume apagawe.
  Hivyo mjamzito anapaswa kuhakikisha anafanya kila analoweza kumpa mwenza wake unyumba isipokuwa tu endapo atakuwa ameshauriwa na daktari kutoshiriki tendo la ndoa kwa sababu za kitaalam!
  Ukisoma makala haya, tfadhali mjulishe na mwenzio ili ajifunze jambo
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Nasikia wanawake wengi wa Jf wako au wanakaribia menopozi!
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,401
  Likes Received: 5,664
  Trophy Points: 280
  .afadhali uwafundishe hawa wanaume humu...maana kuna mmoja alijitapa kumla mavi mkewe.....bila aibuuu
   
 4. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #4
  Nov 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  huyo ni nouma kala mavi kabisa
   
 5. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe. . .akishirikiana na KY. . .
   
 6. E

  Efraim Gp New Member

  #6
  Feb 2, 2017
  Joined: Dec 22, 2016
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Duuu katusua spika
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2017
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  jamani habari bila picha hainogiiiiiiii
   
 8. mwenye shamba

  mwenye shamba JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2017
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 679
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 180
  Dah hizi post zitatuaibisha kwenye daladala pindi yakidinda haya majogoo yalokula dona la mkoani
   
 9. marveljt

  marveljt JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2017
  Joined: Jan 11, 2017
  Messages: 1,514
  Likes Received: 1,445
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo jumla walikuwepo wangapi?
   
 10. zegamba180

  zegamba180 JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2017
  Joined: Oct 8, 2014
  Messages: 738
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 80
  Nyongeza: Ni vema mwanaume akaacha kutumia nguvu na speed ktk kushiriki tendo, anapaswa kufanya pole pole mnoo. Si vema kuzamisha uume wote ndani.
   
 11. h

  havanna JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2017
  Joined: Sep 17, 2016
  Messages: 1,101
  Likes Received: 786
  Trophy Points: 280
  Asante kwa somo
   
 12. Dragonfire

  Dragonfire Senior Member

  #12
  Feb 2, 2017
  Joined: May 5, 2015
  Messages: 157
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Somo zuri sana kwa wale wenye dushe kubwa, kwa wenzagu na mie wa vibamia, Laaah
   
 13. Sakayo

  Sakayo JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 21,451
  Likes Received: 61,698
  Trophy Points: 280
  Aiseeee
   
 14. franny58

  franny58 New Member

  #14
  Feb 2, 2017
  Joined: Oct 29, 2016
  Messages: 4
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
   
 15. radika

  radika JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2017
  Joined: Jul 15, 2014
  Messages: 8,173
  Likes Received: 8,088
  Trophy Points: 280
  vipi dog style
   
 16. WILE

  WILE JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2017
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 2,038
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  Ujanja wangu wote sijawahi kula ma mjamzito na sitegemee leo wala kesho.
   
Loading...