Recent content by Drack

  1. D

    Mzazi: Mtoto wangu alikufa kwa uzembe JKT

    hawa wanajeshi wa ccm walimbaka hakuna cha mazoezi
  2. D

    Huyu Askari Afikiriwe Kupandishwa Cheo!

    huyu sio greengard kweli?
  3. D

    Yaliyotupata jana usiku Sinza kijiweni; Polisi wetu ndio hivi?

    Wema kama sio policcm ni mwizi kama sio mwizi ni mke wa mwigulu. Una roho mbaya sana ww sijui wema gan ww!
  4. D

    Maji ya nazi

    Usiwewe na wasiwasi muda bado ataongea tu, pia inategemea na mtu anayeshinda nae, mzoeze kuita baba wakati upo then mama
  5. D

    TANZIA: Katibu wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati hapa Arusha afariki Dunia

    Appoh! Unataka tupungue ili muendelee kufilisi nchi. Kuwa no1 inawezekana bt no1 milele haiwezekan. R.I.P KAMANDA!
  6. D

    Maji ya nazi

    Unataka kumwotesha mtoto mabusha?
  7. D

    Swala la kukopa kopa linamahusiano na laana??

    Hakuna binadamu ambaye hakopi, tena usimshangae huyo wengine wanakopa tar 2. Kama analipa deni tatizo liko wapi?
  8. D

    Gharama za kupiga plasta nyumba

    Vipi hutaki fundi?
  9. D

    Diwani CHADEMA anusurika kipigo Baada ya kudaiwa kuiba simu IGUNGA

    Nipo igunga hii habari siyo ya kweli, pia huyu dada anayedai ni muuza duka sio kweli.
  10. D

    Simba mfukuzeni Aden Rage mpate raha.

    Kiongozi yeyote fisadi hawezi kuleta mafanikio kwenye soka, kwani anafanya mambo kiujanjaujanja soka linataka ujuzi
  11. D

    Kuvaa nguo ya CCM ni dhambi?

    Unatakiwa kwenda na wakati, watu wanakemea ufisadi we unavaa mabango yao. Watu wanakemea mapepo wewe unawanga mchana.
  12. D

    Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

    huyo aliyewaona hao watu wanne alichukua hatua gani? tuache wawazo ya kufikirika
  13. D

    Msaada-Mjenzi wa nyumba

    J&SHEME INVESTMENT CO. call 0754525115
Back
Top Bottom