Kiroba kitamfanya aongee kidhungu!sikiliza wewe ,ukitaka mwanao aongee haraka njia bora na nyepesi kwanza ilitakiwa uongee nae lugha fasaha since day one (hakuelewi lakini anakusikia) baada ya hapo uwe unawasiliana nae kwa ufasaha epuka kumuiga anapoongea vibaya usimwambie maneno kama 'oto iyo= moto huo' 'taka mma' taka jojoa na kadhalika.
wazazi wengi hufanya makosa hapo-kabinti kangu by the time she was few months shy to 2yrs she could almost speak any word be it swahili or english ,she can pronounce them!
In short ongea na mwanao kama unaongea na mtu mzima mwenzako!
hongera kwa katoto chako. Asante kwa ushauri