Recent content by Dr.Zingo

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia 7 za mwanamke zinazoshangaza

    Kwa uzoefu,wanawake ni headache japo naona wanajitutumua kujitetea ila vichwa vyao vinapenda kuwaza vya kusadikika. Japo wanaume nasi ni pasua kichwa ila kinamana ni fumua kichwa kwani duh!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

    Hawa maprofesa wetu wakienda nchi za wenzetu watapewa kazi za kufagia barabara tu kwani nahisi uwezo wao wa kufikiri ni finyu sana. Yeye ameangalia kigezo cha "NOTI KUCHAKAA HARAKA"bila kujali kigezo cha "KUISHUSHA THAMANI SHILINGI"na "KUZIDI KUPOROMOSHA UCHUMI WA NCHI" Hopeless kabisa!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mahakama Yatoa Amri Mkuu wa Jeshi Atiwe Ndani Katika Saa 24

    South Africa inapokuja suala la majeshi,kuna chombo kinaitwa SANDU(South Africa National Defence Union) ambacho ndicho kimewasaidia hao Askari Jeshi wanne!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Between your legs!

    Big Dick between your legs
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mnisaidie H/work yangu,kuandika kwa ufasaha

    Duh,I see ni shidaa.I jus laughed lika mad man!!
  6. D

    JamiiForums Tanzania sio meseji yangu...

    Zangu ni 1 na 4,ni shiida!!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Marais watatu

    Duh,I see hii kali!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mchawi utamjua tu

    What a nice story!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mjamzito afariki dunia kutokana na foleni leo hii Dar-es-Salaam

    Ni kweli inauma sana!! Ila ni kada ya viongozi gani ambao ni mizigo kwa tatizo kama hilo?Sitegemei ukaniambia mkuu wa trafiki(RTO),mbunge,waziri,ama raisi katika hili!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Tatizo si weledi wala utashi,majeshi ni cohhesive apparatus ambayo wakati mwingine hufanya maamuzi magumu kuhakikisha wanailinda amani na usalama uliopo.Let us not judge kana kwamba tayari tumekwisha jua ukweli uko wapi!!Kesho patakucha na kila kitu kitakuwa wazi!!Patient,calm down amigos!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Mimi nimekataa!!Hizi picha ni bankuch-bankav.Siamini moja kwa moja kwamba the captain,choir master,mh.John Komba a.k.k.a kipipa Ayubu anaweza kuwaita maparazi mpaka chumbani wapigwe picha za namna hii! 1.Watazame vizuri kwenye hiyo picha,ni kana kwamba kuna mtu mbele yao anawaambie"enhee,hapo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Siku 3 za maombolezo: Kufuatia kifo cha mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA

    Yawezekana wajumbe wengine toka CDM na vyama vingine vya upinzani walipata wasaa wa kwenda kumuona marehem wakati yu mgonjwa hospitalini sema tu,hawakuwa na mapaparazi wa kuwanadi kwenye vyombo vya habari;ama yawezekana ni kinyume chake!! Tusubiri Mh.Zitto mwenyewe aweke comment juu ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Tano 2015-2020 atakuwa nani?

    T2015enl tanzania 2015 endward n. Lowassa
Back
Top Bottom