Namwamin Dr. wa ukweli kijana akimwaga mboga anamwaga ugali, yaani mafisadi ndo walivyo, mara leo hee mimi sina ki2, mara eee msinifuatilie kwenye biashara zangu, mwingine wa kumvaa nani mtikila wee amuulize ding yake, chezea mchungaji we dogo.
Moja kati ya mawaziri wa serikari ya awamu hii ambao bila kujali itikadi zetu za kisiasa ama zozote zile ni Mh. John Pombe Mgufuli, anasifika sana kwa uwezo wake wa kiutendaji, kusimamia sheria na kujiamini, japo amekuwa akilaumiwa kwa kosa la kushirika kwa uzwaaji wa nyumba za shirika la nyumba...
Mfumo kristo ndo mfumo gani? Hivi ndug yangu cha kuwatetea hao ni nini hasa, kama ulifuatilia habari wao wanadai mwalimu mkuu alikuwa anawapigia kampeni wakristo, inawezekana ikawa kweli, lakin wanafunzi wa kiislamu ndo inasemekana walikuwa wa kwanza kumsimamisha mgombea wao, halafu baadaye...
I work with Dar es salaam University and i was given a chance to participate in same of their projects. sasa kwanini unatafuta kazi kama unafanya kazi UD?
GPA grade,GPA = Grade Points Average
Kweli kutoka moyoni nasema huwa sipendi hata kidogo kusikia EL eti anawaza kwenda magogoni ukiachilia mbali kwamba sipendi Rais wa 2015 atoke mabwepande, lakin watu wanampambaaaaaaa! sawa kila mtu na mtazamo wake, lakin tujiulize sisi kama watanzania EL na wenzake anazitoa wapi pesa...
Mleta maada mbona unakuwa kama si mtanzania tena aishiye tanzania, je unauhakika viongozi wote kwa mazingira ya sasa wanachaguliwa na wananchi? na je unamlaumu mwananchi wa kawaida hujaona yanayotokea kidogo 2 wakijaribu kupaaza sauti zao, mara mabomu, maji ya kuwasha, mapwepande nk. so nafikiri...
Hata jana nimemsikia mtangazaji James Range wa Star TV, kwenye kipindi cha tuongee asubuhi kuwa walimwalika lakini kaingia mitini kwani siku moja kabla (yaan juzi) ndo ilikuwa wafanye naye kipindi lakini akawaomba iwe jana na jana akatokomea kusikojulikana na maada ilikuwa inahusu rushwa kwenye...
Kama kunasababu inayonifanya nichange radio station ya clouds ni ninapomsikia kibonde, naamini kanizidi umri tu na ukanjanja.
Kibonde is a simple mind that discusses people
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.