Recent content by Dr Programmer

  1. Dr Programmer

    Riziki Said Lulinda aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge ni nani hasa?

    Mnapaswa kuchunguzwa uraia wenu!:):)
  2. Dr Programmer

    Hakuna mawasiliano ya kiroho kati ya wafu

    Kila kitu kwenye maisha ni kujifunza hata siku ya kufa tunapaswa kujifunza tunakufaje, roho inatokaje na mengineyo. Thanks Mshana kwa mafundisho yanayofikirisha
  3. Dr Programmer

    Toyota Prado inauzwa, ipo Dodoma mjini

    Eti ka gx110 kuna watu hata kastarlet hawana halafu wanajifanya wanamiliki hammer 😁😁😁😁😁😁
  4. Dr Programmer

    IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Huna lolote zaidi ya chuki na majungu ndio maana umasikini unakuandama wewe na kizazi chako
  5. Dr Programmer

    Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

    Hivi mbona mnatujazia server kwa nyuzi za kipuuzi? Bashite na zirooo yake hatakuwa rais wa wapi labda koromije iwe nchi
  6. Dr Programmer

    Jamaa wanajilipua kwa sababu wanajua 2020 hawarudi bungeni

    Uzi wa ovyo Kabisa katika mwezi April!
  7. Dr Programmer

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Kama kadanganya tupe uzoefu wako au ukweli wako
  8. Dr Programmer

    KIGOMA: Nyumba ya tembe iliyounganishwa na umeme yazinduliwa na Waziri

    😂😂😂😂😂 unaota ndoto mchana matajiri waishi kama mashetani😀😀
  9. Dr Programmer

    Rais Magufuli, tafadhali kataa kuupokea Uwanja mpya hadi wabadilishe vibao vya Airport mpya!

    Sio kwamba anaipenda lugha yetu, lugha ya malkia inampa taabu ! Rejea mkutano wake na waandishi wa habari uganda
  10. Dr Programmer

    Leo ningesafiri na kampuni ya mabasi super sami T 203 DHM kutoka Mwanza to Dsm, nimekereka sana

    Uandishi wa kitoto hizo xawa, xana, nk, peleka fb huku umepotea
  11. Dr Programmer

    Tumetoka kufunga ndoa saa mbili na nusu asubuhi. Tumetumia dakika 40

    Raha sana hata jicho mara mojamoja utapewa!
Back
Top Bottom