Maneno alosema Lusinde yangekuwa yamesemwa na Mbunge wa CDM saa hizi kesi ingekuwa ishafunguliwa na keshahojiwa na pale Clouds FM ingekuwa ndo Topic!Naomba wanaojua sheria watusaidie kufungua kesi juu ya huyo Lusinde plz
Viongozi wastaafu wasishirikishwe ktk siasa !maana sijui Mkapa anajisikiaje kwa sasa!Siasa ya sasahivi ni nguvu za hoja sio umaarufu wa mtu!Mwanza tumeona mh Sita alipopata aibu pi
hapo TANROADS ni pa wachaga kama hamjui na itakuwa ngumu sana Mrema kuondoka maana naye anakata fungu kwa vigogo.
Barabara hamna watu wanalipwa kama ma TX huku wenye magari wakizidiwa na mzigo wa kurepea magari yao,
Nchi hii watu wanakula tu ila nakwambia siku inakuja watalia na kusaga meno...
maana hili mla chaha kudai Ruzuku wakati NDESAMBURO amekikopesha chama zaidi ya 100 mil na Mbowe amekipa zaidi ya 500 mil na wapo kimya Then mtu analia na milion 65 naona amelewa madaraka huyo,kwakuwa amefikia kuwa makamu anaona atakuwa mwenyekiti soon!!!THATS WRONG CHACHA
nimemfuatilia Chaha muda mrefu akiwa anatoa michango yake bungeni nikaona ni mtu asiyekuwa na malengo,haswa wakati huu wa bunge la bajeti hakuwa amejipanga kabisa.Na hili nadhani ni UGENI WA MADARAKA.Nafasi hizi tunazitaka sisi wanyonge za kupeleka mawazo yetu huko sebuleni ila naona mwenzangu...
Na pia asubuhi Dr Slaa alimbana Marmo haswa kuhusu nafasi za wabunge ktk makampuni ambapo kuna mgongano sana wa kimaslahi na Marmo akasalimu amri japo alijidai haewi hilo mpaka KIONGOZI wa upinzani bungeni aliposimama akamfafanulia,na mwisho akajibu kuwa Serikali italifanyia kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.