Sawa, lakini 'usi-geralise' kuwa 'wengine' ushutumu 'upande fulani' unahusika. Tusichanganye maoni(opinion) ya mtu 'mmoja' au 'kikundi cha watu' kuwa ndiyo ukweli(fact) kwa jamii husika. Sababu hakuna msimamo wa pamoja uliofikiwa kutuhumu jamii nyingine. Namaanisha watumishi wa Mungu hawajawahi...
Kashangae wenye honorary degree(PhD) wanaojiita Dr.
Tatizo nini?. Mlipokuwa mnasema CHADEMA wanajilipua kwa mabomu, mlikuwa mnafikiri 'out-come' yake itakuwaje?. Leo tumefikishwa hapa hata msikiti ukiungua 'logic' ni kuwa wenye msikiti wamejiunguza. Acha undumila kuwili. Kama mliamini hivyo kwa...
Kha! You are to general my friend. Mwl. umenifurahisha sana. Hapa umeonesha vituo zaidi ya 10 tena ukaongeza na sehemu yoyote hile ambayo ujaitaja 'wajitokeze tu'!. Walimu kuweni makini bwana muwe specific.
Heri aliyejisemea "nguvu ajari akili ndiyo mali" Hivi kweli kuna 'kitu' chochote duniani hakina ushindani(competation)?. Hivi huwa unajifikiri kweli? TBC inayoendeshwa kwa fedha za walipa kodi, haijasimama mpaka leo na ijiendeshe yenyewe. Utasemaje haina ushindani kana kwamba wapo peke yao...
Mmekuwa wabaguzi wakubwa, toka Mwalimu afariki mmepoteza mwelekeo,mmekuwa wadini,wakabila na genge la waharifu, damu ya watu mnayomwaga, haita waacha salama hata kidogo!. Jiunge na Ole Medeye kupanda ukabila, endeleeni tu mtavuna mnachopanda. Muulize kada yeyote wa CCM ambaye ni mjinga kuliko...
Nimepata taarifa kuwa RPC Arusha amepiga marufuku kuwepo na mikusanyiko ya watu(nafikiri wanao sherehekea ushindi) katika viunga vya jiji la Arusha kuanzia saa 2:30 usiku huu. Naombeni muwe makini sana mliopo maeneo hayo, msilumbane na Polisi. CHADEMA ni wapenda amani kama ishara ya vidole...
Hongereni sana CHADEMA. Sherehekeni kwa amani ushindi wetu. Polisi hawaaminiki wasijewaweka rock up, hasahasa kamatamata inayoweza kutokea usiku wa leo, kwani mnajua bado hatuaminiani na hao jamaa. Hila pia msiwachokoze Polisi au wafuasi wa CCM, itaanzisha ghasia. Tusherekee kwa amani. VIVA CHADEMA.
Mzee Mwanakijiji, umenena vizuri. Kwa hali ilivyo na jinsi cdm wanavyotendewa(tena vibaya sana) na watawala kwa Mhe. Mbowe kuudhuria mwaliko huo ni utovu wa nidhamu na usaliti mkubwa kwa wanachadema na wapenda mabadiliko kwa ujumla, kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini kosa alilolifanya KUB...
Wanawake wa Mwanza wapo makini sana na wanajitambua. Ulichoandika siyo sahihi. Mwanza kunasiasa kali sana na ushindani mkali sana( cut throat competition) waulize kina Lawrence Masha, Anthony Diallo, Getruda Mongela wanalijua vizuri jiji lile. Wa kina Dr. Festus Limbu, Ndasa etc walipita kwa...
PM awe makini. Kama kweli alisalimia CCM oyeee katika sherehe inayojumuisha wabunge wa vyama vingine vya upinzani( cdm hawakuwepo) alifanya makosa makubwa sana, siyo uungwana hata kidogo! Kama ni kuagwa alikuwa anaagwa spika ambaye aliongoza bunge lenye wabunge wa vyama vingi na siyo CCM pekee...
Samahani mkuu, naomba kujua, kwani waziri wa fedha alihitimisha hoja yake kwa kutolea ufafanuzi hoja za wabunge?, Je vyombo vya habari vya huko hasa TBC1 vilizungumziaje hali hiyo hapo jana? Namaanisha taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika TBC1?. Naomba unipe ufafanuzi pls.
Mkuu safi sana, endeleeni kutuhabarisha. Wengine hatuna access na itv wala radio 1. Lakini ni wazi kufufua serikali ya Tanganyika ni kuua muungano. Wazanzibari wengi wanashangilia serikali 3 wanajua fika muungano utakufa. Aksante.
Kanyo kanva upo?. Laana inakusumbua. Unataka kusema Sugu na Lema walishirikiana na Serikali, mbona hawakuchukuliwa hatua na Serikali. Wewe ni pungazeze na ni mzigo kwa CCM, post zako zinakishitaki chama chako kwa kuwa wewe ni tutusa hauwezi kujua hilo sababu you've got very minor frontal lob. Go...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.