Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 605
Prof.PALAMAGAMBA KABUDI,simuoni hapa ukumbini maana ni gwiji wa sheria ila amekuja na rasimu yenye viraka makumi kwa mamia.
Itabidi azichukue hizi hoja azipeleke kwa WARIOBA
Hata mimi nashangaa mkuu, Prof. Paramagamba Kabudi sijui ni nini kilimsibu. Au ndo hiki Prof. Shivji anasema walikuwa wanatafuta Compromise badala ya Consensus!