Baada ya watu wengi kuandika yao katika mitandao mbalimbali,sasa leo Baraza la Mitahani Tanzania latoa tamko rasmi.
Akinukuliwa Naibu waziri wa elimu MH. Phllip Mulugo alisema "Tumefanya kila jitihada kuhakikisha kwamba tunatangaza matokeo haya hivi leo na kila kitu kinaenda kama tulivyo...
kwanini baadhi ya dawa zinaandikwa (tumia baada ya kula)?
Doctor anapokupa dawa na kuandika maneno yale anakuwa anatambua ni Acid kiasi gani inapatikana katika kidonge hicho.
Sasa pale unapo fanya kinyume ni dhairi kwamba kuna uwezekano wa kupata madhara,kwasababu vidonge vya namna hii...
kwanini baadhi ya dawa zinaandika (tumia baada ya kula)?
Doctor anapokupa dawa na kuandika maneno yale anakuwa anatambua ni Acid kiasi gani inapatikana katika kidonge hicho.
Sasa pale unapo fanya kinyume ni dhairi kwamba kuna uwezekano wa kupata madhara,kwasababu vidonge vya namna hii...
No!
siyo kama mnavyo fikiria jamani hiyo ni scene ya moja ya Muvi ya Dr. Mwenzangu hapa Mbeya.....
llllll...oooooo.....llllllllll!!
Ila Part 2 ya hii ni baada ya coments 50...
Mwanzo nilihisi naota lakini kadri siku zinapo jongea ndipo nagundua kwamba ni hali halisi,
Nilianza mahusiano na huyu msichana nikiwa Form 2 muda kidogo baba akaja kuona picha ya huyu wangu,akaniuliza lakini bila kumficha nikamwambia kila kitu coz mimi na baba tulikuwa kama mtu na mdogo...
Jamani kila mtu ana uhuru wakuongea na kusema MAWAZO yake anayo ona kuwa ni SAHIHI ili mradi ASIVUNJE SHERIA na utaratibu uliowekwa na NCHI husika.......
sioni kama kuwa shambulia hawa watu kuna maana yeyote kwasababu wao hicho ndicho walicho kiona kuwa ni SAHIHI...
1.Kibonde, yeye na...
kuna tetesi kwamba Huyu kikwete ndiye chanzo ndo maana hata hakushtuka wala kukatisha dhiara yake ya Ethiopia...
baada ya Ridhiwani kukamatwa na shehena ya madawa ya kulevya nchini China ndipo sheria ya KUNYONGWA ilitaka kuchukua Mkondo wake,ikabidi baba mtu aingilie kati na kusaini mkataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.