Google INTJ personality usome maelezo kwaumakini utajijua wewe ni mtu wa aina gani. Ndo maana huwezikuchangia huu ujinga ujinga wa kwenye mitandao maana unatazama mambo kwa uwezo na angle tofauti sana ukilinganisha na watu wengine wa kawaida.
Wabongo ujuaji mwingii.halafu patupu kabisa
Mkuu google
1.INTJ personality
2.Famous people who wereINTJs
Utapata jibu, achana na majibu ya kisasa na kijuaji ya wabongo hapa jf.
wabongo bwana kwa ujuaji.
Inawezekana dogo una. Ufahamu mkubwa. Na una INTJ personality ambayo wanakua nayo watu wakimya na wenye akili sana.. Google INTJ personality utaelewa zaidi.
Mpumbavu na lofa si mimi. Mpumbavu na lofa ni wewe unaesota hapo bongo kwenye lindi la umaskini huku ukishangalia watu wakipiga hela za wananchi .. Watanzania tuna safari ndefu..
Unajua wakati mwingine sipendi ku-argue kwasababu naonaga ni ujinga ujinga tu kutoka watu wa ccm. Hasa wanapokimbiliaga mambo mawili-kutii mamlaka na neno amani- mimi nakumbuka siku ya kwanza NEC imetangaza majimbo kumi lakini januari katweet ccm imeshinda majimbo 176. Kwa hiyo january yeye...
Naona kula kulala wanavyoweweseka. Mimi huwa nawaambia tafuteni kazi za halali mlipe kodi ka watu wengine. ccm itafika mwisho kama huko zanzibar ilipofika mwisho watu hawamini. Huu ulaji ipo siku utakatika.!
Sisi kila siku tunapiga kelele hapa hamtuelewi. Mimi nasema hata kama ni siasa au kuiba, au ulazimishe kijanja basi lakini hii ya wazi kabisa inaudhi na kuleta hasira. Kama bara kwa hali ya kisiasa ilivyokuwa. Ule mchongo wa makamba na tume kutangaza kila jimbo magufuli kashinda kwa asilimia...
Poleni sana. Nchi inaondoka hiyo. Kama mlizoea kula bure kupitia ccm ulaji utakatika soon. Eti unajenga taifa naamini asilimia 95 ya vijana wanaishabikia ccm ni kula kulala na watu wa kujipendekeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.