funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
Mwenyekiti wa NEC umepewa mamlaka yote na wananchi na hii ina maana una mamlaka duniani na Mbinguni.
Usije ukapoteza uwekezaji wa fedha za masikini wa Tanzania na kuja na maamuzi ya ZEC!
Watanzania wanajua walichokifanya na hakuna mwanasiasa yoyote anayejua sio Magufuli wala Dovutwa wala lowassa.
Umeanza vyema malizia vyema!
Weka maslahi ya Taifa mbele na sio ya yoyote yule.
Sijaona mantiki ya kusibiri masaa 12 zaidi ya kututangazia mshindi...mimi nilipiga kura kwa kusubiria lisaa limoja sioni sababu ya kusubiri matokeo kwa masaa 72 ilihali matokeo ya majimboni yamekamilika.
Magufuli hajaongea ...unataka aongee?