Majibu ya kupewa alikufa 2008
Muongo
Majibu ya kupewa alikufa 2008
Mi nakumbuka 2001..july....nilikua form one...kilikua ni msimu wa saba saba ...lol
Mkuu nlimuona makamba akiongea nikasema duh, hata kama ni siasa hii imepitilizawazanzibar wamepga kura 5 lkn sasa hv kura 4 kati
ya 5 zimekuwa batili na kura 1 tu ya Urais wa
Jamhuri imekuwa halali? Kura zimepgwa na mtu 1,
kituo ki1, kitambulisho 1 na mda m1 hlf 4 ziwe feki
na 1 iwe halali? ONLY POSSIBLE IN TANZANIA
wazanzibar wamepga kura 5 lkn sasa hv kura 4 kati
ya 5 zimekuwa batili na kura 1 tu ya Urais wa
Jamhuri imekuwa halali? Kura zimepgwa na mtu 1,
kituo ki1, kitambulisho 1 na mda m1 hlf 4 ziwe feki
na 1 iwe halali? ONLY POSSIBLE IN TANZANIA
Ilikuwa tarehe 4 July 2001......
https://en.wikipedia.org/wiki/Omar_Ali_Juma
Ni kweli hata mimi nakumbuka jana yake alikua sabasaba nadhani ni kati ya tarehe 3-6 july 2001...
Sasa huyo alotamka enz hizo alikuwa wapi...km tuliokuwa watoto tunakumbukaKweli kabisa !!alikwenda kwenye maonyesho ya Sabasaba mchana na jioni tukapata habari ya kifo chake..
tofali unakumbukumbu sana wewe binti,alikuwa ametoka kuangalia mabanda ya maonyesho sabasaba ndio maccm yakafanya yao yakampumzishaMi nakumbuka 2001..july....nilikua form one...kilikua ni msimu wa saba saba ...lol
Inawezekana ulimi unamteleza tu Jaji Lubuva...Aliyekufa mwaka 2005 ni Mgombea mwenza wa Mgombea Urais wa CHADEMA wakati huo Freeman Aikael Mbowe....Na ulimi kuteleza hakubadilishi ukweli/dhana aliyoizungumza Jaji LubuvaKama ntakuwa sijakosea, Lubuva nimemsikia akisema Dr. Omar ali Juma alifariki 2005. Hivi ni kweli, sio wakati ule wa rais mkapa?
Mi nakumbuka 2001..july....nilikua form one...kilikua ni msimu wa saba saba ...lol
Mi nakumbuka 2001..july....nilikua form one...kilikua ni msimu wa saba saba ...lol
Hapo ulikuwa na miaka 14 au 15, ukijumlisha 14 mingine kwa sasa utakuwa na miaka 28/29.
Hiyo form one ulisomea wapi?