Recent content by Dr Mhina

  1. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

    Bro inawezekana unataka kutupa kitu KIMOJA cha maana sana👏👏👏👏 Tatizo umechanganya madesa hadi sijaelewa nini umekusudia mkuu. Hebu andika paragraph moja na kile cha MSINGI unachotaka kusema 🙏
  2. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Afrika na Ujinga wa Kujidanganya: Kwa Nini Hatuna Miradi Mikubwa ya Kisayansi?

    Umeandika vizuri mno. My note. Wazungu/Wamarekani wenzetu walishaondokana na hizi shida za kula,kulala na kivas. Pili ukifuatilia kwa ukaribu hayo unayoyaona yanafanyika MAREKANI kuna sisi(WAAFRIKA) wengi vichwa haswaaaaa sema hatutajwi? mfano highly paid robotic engineer wa dunia hii is...
  3. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

    Hii umeongelea kufanya mambo yasiyo ya SIRI ambayo yanamfaidisha moja kwa moja anayekufanyia. HAPA tunaongelea yale yanayokuhusu wewe binafsi na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha sio issue za KUSHIBA, KUFIKA SOKONI, KUPONA MALARIA e.t.c 😂
  4. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Nimesoma na Elon Musk

    Hii ndoto kuwa makini maana muda si mrefu utaingia chooni 😂😂. Usije chafua Chumba.
  5. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Mariam Msafiri alidanganya kumwagiwa Chai na Mumewe kisa kudai talaka. Yeye ndiye alimmwagia mumewe maji ya moto

    MWANAUME kosea yote ila USIMHURUMIE mwanamke anayekuja kwako akikuambia kaachwa na MWANAUME mwenzio. Bro ukiona mwanaume ameacha mwanamke, muogope HUYO MWANAMKE kabisa . HATUACHAGI MKE KIRAHISI. WENGIMTUNAKIMBIA TUKIONA KIFO KIPO KARIBU. sasa wewe jifanye #BWANA_HURUMA uone .
  6. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Dereva wa bodaboda jela maisha kwa kunajisi mtoto

    Huyu mwamba amefeli pakubwa sana. Ila hii hukumu ni ndogo sana, imagine afe kesho. Ingefaa 270 years hadi kaburi pia lifungwe.
  7. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally awakaribisha ndani ya CCM Halima Mdee na wenzake

    Kwani Halima anakula wapi kama sio bungeni ??. Tuangalie pande zote anahitaji kula kama mimi na wewe BASI. ISISEME NI NJAA MAANA HATA WEWE UNAYO .
  8. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Mbona Mbowe hayupo?. Sikiliza nyumbu sas🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  9. Dr Mhina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Home Theatre na Sub-woofer?

    Asante mkuu, huyu #Mufata anatakiwa ajijue kuwa hajui. Na wakati mwingine a aulize kabla hajakomenti.
  10. Dr Mhina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple Iphone 12 is finally here

    Nianza kutumia iPhone 2010 sikurudi nyuma na kuamini Android hakuna kitu. 2019 nililazimika kutumia android baada ya kung'ang'anizwa nimpe apple[emoji6][emoji6]. Tangu hapo nikaanza kuidharau apple baada ya kuitest ANDROID after 9 years.
  11. Dr Mhina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Home Theatre na Sub-woofer?

    Asante mkuu kwa jibu zuri. Nina hometheatre 5.1 na dvd player. Amplifier ipo wapi hapa na mziki unagonga mulemule??.
  12. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Amsterdam anakazi kubwa ya kumbembeleza baby wake siku 12 zijazo. Naskia kaweka kambi TZ[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
  13. Dr Mhina

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Home Theatre na Sub-woofer?

    Mkuu hapa unamaaniaha nitahitaji amplifier ili mziki/sound itoke? na je DVD PLAYER sio amplifier??. Naomba msaada.
  14. Dr Mhina

    JamiiForums Tanzania Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

    Na kweli.
Back
Top Bottom