Recent content by Dr Mayala

  1. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza safari ya kikazi nchini DR Congo

    Dah huyu mama Hana hbarii na miradi kabisaa
  2. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Jaman hapo Sasa itakuwa sio Imani Ila utakuwa unamjaribu mungu ,hatutakuta hata kucha😃😃🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  3. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Issue hapo sio uchawi et balii naye Ana sababu zake za kufanya ivooo na ndo maisha kila mtu Ana mental adjustment mechanism
  4. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Korona mbona kawaida kuna Zaid ya korona ambayo inaua mapema tu ,hata incubation period ya 2 week ndefu😃
  5. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

    Wewe Kinga Bora kuliko tiba😆😆😆
  6. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

    Hamna kbisaa mo Yuko zaid
  7. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

    Duh Kama ndo perception yake kwamba hawezi muunga mkono mwanamke wamuache
  8. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

    Line men's wamekula pesa kabisaa
  9. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania SOS: Kaimu Mkurugenzi wa Bugando ujiuzulu kwa uzembe na mapuuza

    Jaman sanamu Tena limekuja vp hospital
  10. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Binti adaiwa kumuua mama yake kisha kumng’oa macho

    I think she was insane at material time
  11. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

    Mradi wa mwl nyerere ulionekana Kama hauna dhamani but for now Marais wastaafu wanasifia kwamba hayati alikuwa na maono makubwa na nchi yake ..but sipendi viongoz wanafiki Kama hao...harray for the late Dr John pombe Magufuli
  12. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

    Innovative ideas hakika alikuwa rais...sijawahi kuona
  13. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Hiyo mbona sahihi sanaa tu....shida waamuzi hufuata rushwa sijui..penati zilikuwa wazi 2
  14. Dr Mayala

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

    Thanks for your info..lkn sijaelewa Hilo jiwe la kulamba liko je na linacontain nn labda
Back
Top Bottom