Dr Mayala
Member
- Jun 22, 2021
- 38
- 23
Jaman sanamu Tena limekuja vp hospitalVentilator zinatosha? au pesa imepelekwa kwenye bajeti ya mwenge na kujenga sanamu..
Jaman sanamu Tena limekuja vp hospitalVentilator zinatosha? au pesa imepelekwa kwenye bajeti ya mwenge na kujenga sanamu..
Sisi hatuna corona tuna changamoto ya upumuaji pekeeYaani Tanzania tuna tia aibu tumekuwa na Corona zaidi ya mwaka kwanini mpaka leo tunatatizo la mitungi ambayo kila mtu anajua ni njia ya kujihami na kuokoa maisha kwenye janga hili
Naona umeamua kupiga kwenye mshonoSipingi unayosema hapa, ila ni wazi kwamba nawe una maslahi katika mradi huo, pengine wewe ndiye 'supplier' wa mashine hiyo ya kuchakata oksijeni, pamoja na hiyo mitungi.
Kwa hiyo kwa kuwa hii ni dharura, nawe uwe tayari kuokoa jahazi. Nenda kafunge mashine haraka ili waTanzania wasipoteze maisha hapo badala ya kuja kutoa lawama kwa Mkurugenzi.
Kuna dharura sasa, nenda kaongee naye ili kazi ianze mara moja, halafu ujira wako mtaelewana mbele ya safari.
Nawe ulikuwepo ndani ya "dunia ya Tanzania"; au umetoka juzi kwenye hiyo dunia nyingine kabla ya Magufuli hajatoka kwenye dunia ya Tanzania?dharura gani wakati huu ugojwa ulikuwepo kwenye Dunia hii kwa zaidi ya mwaka! Yaani tumeshidwa kutengeneza mitungi!
'Stock' iliyopo sasa ni nzuri kabisa. Niulize swali hilo wiki mbili tatu zijazo, jibu lake nitakuwa nalo.Mkuu kufa kufaana miye upepo umepita karibu yangu tu sihusiki kwa lolote. BTW biashara yako ya barakoa inaendaje?