Recent content by Dr Mabuga 30

  1. D

    JamiiForums Tanzania ASP, TANU,CCM Ni Vyama vya watu wa Pwani. Bara mlikaribishwa. Jifunzeni historia na Kuheshimu waanzilishi

    Kama chama chenu fukuzen wabara au tujitenge , tena ninyi Wapwan ndo mnaturudisha nyuma kimaendeleo Kwanza wavivu, pili mnataka kula vya bure wapuuzi ninyi , Nendeni huko na little chama lenu kila mpwani akikamata nchi inayumba Nendeni huko mahayawani nyie
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais anawalazimisha wafanyabiashara kupandisha nauli za usafiri? Mafuta yameanza kupanda mwaka huu? Rais hajui kuna LATRA na SUMATRA?

    Mmm jamani tukubali ilishakura kwetu, na majitu Kama haya huwez sikia limekufa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

    Duuu muda mwafaka wa kwenda kuuza tembo wazee, Twiga,nyat na vifaru wazee kinana Karibu Sana hao wanyama wamezaliana Sana kuja uwapunguze
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Ukipewa nafasi fanya kwa masirahi mapana kwa hyo wewe alitaka awaache hao mafisadi? tena hilo lichama linaenda kumalizikia tena ngoja muone badala ya kumshukuru Magufuli, Bashiru na Polepole mnawadharau hili lichama mnaenda kulizika rasimi , yaani mzee wa Twiga Qatar mnamrudisha saaaaawaa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa Sukuma Gang na CHADEMA itaigharimu CCM

    Sukuma gang group, King Msukuma,Gwajima, Lusinde, Polepole,Bashiru Ali, Kalemani,Sabaya ,Mnyeti,Jopo,Makonda, na wengine miongoni mwa wengi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Mkuu umeongea Ukweli mtupu ila inategemea na mtu, Kana mtu Kama mkapa, Magufuli, mbowe, Malim seif, Nyerere, Salim A Salim, sio mfano wa watu Kama Hangaya , kikwete ni kupoteza muda tyuu Bora kila mwaka mbadili
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Mkuu usishangae unajua Kuna mazingira fulani yanaweza kukupiga upofu kila kitu kinakuwa kigumu, hasa usipotembea ndo mbaya kuliko, kitu chochote
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

    Mtanikumbuka
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hawana imani na awamu ya 6, kila kitu wanahisi wanapigwa?

    Kauli za mama mbovu, et mnakula hadi manavimbiwa ,Kuleni kulingana na urefu wa kamba
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Nikiwa nawaeleza watu hili suala huwa hawanielewi, lakin ndo Ukweli suala la kufundishia kiswahili hadi chuo kikuu tulichelewa Sana haliwezi, kutimia , Nimezunguka SA, Kenya, Uganda, Zambia kiukweli Kama hujui kingereza utapata tabu Sana kuhudumiwa , wakenya wapo vizur Sana kiswahili wanajua na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Nilijua ameandika mtu mwenye akili kumbe zombie wewe
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempiga mtoto wa mdogo wangu, ndugu wananilaumu lakini Mama ananiunga mkono

    Kwa mtoto unatakiwa umagufuli 70 na ukikwete 30, Ukitumia ukikwete totally mtoto anakunyea mikononi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

    Kama unataka minong'ono iwe mingi waweke suala dini
Back
Top Bottom