Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

Kama viongozi wa Urusi unadhani wanauwezo mkubwa wa kuongoza na kutoa maamuzi mazuri kuliko hawa wa kwetu,basi wasingeingia mkenge wa kuivamia Ukraine,uvamizi ambao umepelekea nchi za magharibi kuiwekea Urusi vikwazo vya uchumi ambavyo vimeirudisha Urusi miaka 50 nyuma kimaendeleo.
Mawazo yako Boss. Ngoja tuone. Kama kweli Uruai imeruei nyuma miaka 50. Usisahau hadi tunavyoongea wanaendelea ku inject Euro Urusi wakinunua gesi na wese lake. Wao wamezuia Urusi aisuziwe Piza. Sasa sijui Nani anapiga bingo hapo😂😂😂😂
 
Ni
Hiyo Urus haipo hata kumi bora ya inchi zenye uchumi mkubwa sasa sijui una of ngelea mafanikio gani. Halafu Russia ni moja ya inchi zilizokithiri kwa Rushwa
Ni kweli kabisa mkuu. Ila Wanaume 30 kila siku wanakaa vikao ili kukabiliana naye!
 
N
kajekudya Kuna kaukweli kwenye mada yako lakini hayo yote inategemea na utashi, utayari na vision ya Kiongozi husika. Ukiacha huko ng'ambo, hapa ndani tuna viongozi wa vyama vya siasa ambao wamekaa madarakani lakini angalia jinsi wallivyodunisha vyama' vyao; Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF n.k n.k.
Ndiyo maana nikasema angalau miaka 15. Yaaani mtu aweze kugombea vipindi vitatu. Akizingua si raia wanamtoa. Kama anafanya poa basi aendelee kutema cheche badala ya kumtoa eti kwakuwa mda umeisha wakati ni mtu very productive.
 
Lukuvi,Mkuchika na kuna wengine tena nimewasahau, wenyewe kila hawamu wapo serikalini.
 
Mzee nimesema tatizo letu wale potential siasa zetu haziwataki. Wanaodumu ni wale chawa chawa tu. unprofessional ambao hata wangekaa miaka 10 hakuna tangible our put unaweza pata kwao.
Of course Mkuchika naaamini Kuna sehemu amefanya pakubwa. Na anaweza akawa case study ya hiki ninachokiwaza.
 
Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin.

Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata jirani zetu Rwanda linawalipa.

Ni somo la kuwapa viongozi Nguli na waandamizi muda wa kutosha kusimamia mipango ya muda mrefu na kupanga mipya. Kwenye sakata linalogonga vichwa mwezi Sasa kati ya Urusi na Ukraine(NATO) Kuna miamba kadhaa upande wa Urusi inasikika mara kwa mara, matharani.

PUTIN.
1.Sergei Lovrov, Waziri wa mambo ya nje.
2. Dmitry Peskov, Msemaji wa Ikulu na na Deputy chief of staff.
3. Anatoly Antonov, Balozi wa Urusi Marekani.
4. Sergei Ivanov, Mkuu wa baraza la usalama.
5.Dmitry Medvedev, Naibu Mwnyekiti baraza la Taifa la usalama.
6. Sergei Shoigu. Waziri wa Ulinzi.

Ndugu zanguni hawa ni miamba wachache ambao nimeona angalau nitolee mfano.
Ukiwaangalia hawa watu kila mtu ni nguli wa eneo fulani na wapo kwenye serikali si chini ya miaka 10.
Miamba wanaweza wakawa wanahama kutoka eneo moja kwenda lingine lakini wapo.
Ukichukua serikali nyingi za sasa hata US ukawapambanisha na hawa Miamba ni kama unawaonea tu aise. Yaani Hawa maimba ni Galaticos.

Putin yupo hapo tangu 2000, amepambana na Bush, Obama na kisiki Trump. Amepitia mikiki mikiki anawajua US and Co in and out. Babu Biden kwake Hana jipya.

Sergei Lavrov yupo foreign ministry tangu 2004. Amepambana na Condi, amepambana na kina Pompeo and Co. Huyu Blinken anamuona mrembo tu aise.Kabla ya hapo alikuwa balozi umoja wa mataifa, anazijua Kona zote, diplomasia imekaa. Miaka 18 kwenye foreign ministry.

Mwamba Peskov yupo Klemrin tangu miaka ya 2006. Ni mwamba kweli kweli kwenye usemaji. Anawajua Westerners inje ndani hawampi kichwa hata kidogo kwenye propaganda aise. Jumlisha mwamba Anatoly Antonov, amewahi kuwa naibu waziri wa Ulinzi na mambo ya nje, Dmitry Medvedev, Sergei Ivanov.N.k.

Kwahiyo ukiona Urusi anawatoa watu kamasi, moja ya msingi ni huu, kuwa na Nguli, na veterans kwenye maeneo tofauti tofauti ambao wanajua uhuni wote wa dunia hii. Ambao wanajua chocho zote na wanaoweza kupanga Jambo likapangika.
Sisi huku kila baada ya miaka miwili sura mpya, hawajulikani wametoka wapi. Anayejitahidi anakaa miaka mitano na wale wanaodumu ni wale wenye sifa za uchawa, very unproffesionall.

Yaani kwetu ukimuangalia waziri huoni ule uzito kwenye nafasi aliyopo. Huoni kitu Cha maana alichokifanya hapo alipo.
Wizara ukiifanyia tathmini leo haina tofauti na ilivyokuwa 2004. Labda yamebadilika majengo, magari na watu. Huoni Wanaume wa shoka waliokaa pale wanaosimamia vitu vya maana. Ni watu wanakuja wanapiga salary ya waziri wanaondoka, anakuja mwingine anapiga Salary anaondoka.

Ndugu zanguni kwa mtindo huu ni k hatuwezi kupiga hatua.
Nadhani tufike mahali tuweke utaratibu tuwape viongozi waandamizi mda wa kutosha, wapange mipango, watafute wandani wao wa kuwasaidia kusimamia mipango. Miaka mitano ni mda wa kujifunza. Baada ya hapo aangalau wapewe miaka mingine 10 ili sasa wafanye kazi. Tuanze na Chifu, tumpe hadi 2035.

Baada ya miaka hii minne atakuwa amejifunza Sasa baada ya hapo ataanza kupanga na kusimamia mipango ya Inchi na atafafuta watu wa kumsaidia ambao ni nguli na ambao atawaamini kwa mda mrefu atakuwa ameilewa serikali na atakuwa amepata nafasi ya kuwajua vizuri watu wanaomfaa. Hatahadaika na vipara na miwani au skafu za kijani.

Ndugu zanguni hata hapa kwetu somo lipo. Hapo tu Ufipa, CHADEMA imekua taasisi imara kwakuwa yupo mwamba, ameaminiwa na akapewa mda wa kutosha karibia 18 sasa. Amejifunza akazielewaa siasa na sasa za bongo na anawatoa kamasi wanakijani, ameijenga CDM. Sasa ni Taasisi imara kiasi kwamba 2015 Watanzania walitaka kuipa dora. Kama tunaona Urusi mbali tuchukue basi hata hilo somo la hapo Ufipa.

Tunazidiwa akili hadi na Zito jamani. Mkuu wa Chama, Ayatola, mbona ameshaliona mapema hilo, akaazima pale Tehran.
Mkuu umeongea Ukweli mtupu ila inategemea na mtu, Kana mtu Kama mkapa, Magufuli, mbowe, Malim seif, Nyerere, Salim A Salim, sio mfano wa watu Kama Hangaya , kikwete ni kupoteza muda tyuu Bora kila mwaka mbadili
 
Ni sahihi mkuu. Cha msingi iwekwe msingi mizuri ya demokrasia. Mtu Kama haeleweki miaka mitano watu wapige chini. Kama ni very potential apewa mda atusogeza kuliko kumbana bana sijui na term limits. Fikiria Ile speed ya Ben. Angalia wale mawaziri wa Ben, Kama angepata another ten years nini kingetokea. Badala yake tukamtoa akaja mze wa msoga. Karibia 90% ya waandamizi wa Ben akapiga chini tukaanza moja.
 
N wingine w cameroon

Af hata TLP kuna mwamba Lyatonga miaka kibao 😂
Hao wapo mkuu😂😂😂😂. Lakini mcheki mwamba Mbowe. Unadhani CDM wangefaidika na uongozi wake kama wangembana bana na time limits.
 
kwahiyo unataka kusema viongozi wawe wanakaa madarakani muda mrefu hata awamu zao zikiisha ?
 
Maisha hayaendi hivyo babu, ukisema wamepambana, wamepambana kwenye nini? Kinachomata ni system za uongozi, hii ni sawa kwenye Soka useme Carlo Ancelloti ni kocha wa muda mrefu kwa hiyo Xavi Hernandez hana jipya.
Sidhani Kama umenielewa. Na mfano wako unathibitisha hilo
 
Uganda wana mafanikio gani kwa muda waliompas kiongozi nguli, Museveni?
DRC walipata mafanikio gani kwa Mobutu? Zimbabwe kwa Museveni? Au Angola kwa Dosantos?

Hayo mtaifa unaweza kuyalinganisha na mataifa ya kidemokrasia Africa kama Botwasna, South Africa, Kenya, Ghana, Nigeria?
Katika kuna demokrasia gani zaidi ukibaraka na unafiki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin.

Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata jirani zetu Rwanda linawalipa.

Ni somo la kuwapa viongozi Nguli na waandamizi muda wa kutosha kusimamia mipango ya muda mrefu na kupanga mipya. Kwenye sakata linalogonga vichwa mwezi Sasa kati ya Urusi na Ukraine(NATO) Kuna miamba kadhaa upande wa Urusi inasikika mara kwa mara, matharani.

PUTIN.
1.Sergei Lovrov, Waziri wa mambo ya nje.
2. Dmitry Peskov, Msemaji wa Ikulu na na Deputy chief of staff.
3. Anatoly Antonov, Balozi wa Urusi Marekani.
4. Sergei Ivanov, Mkuu wa baraza la usalama.
5.Dmitry Medvedev, Naibu Mwnyekiti baraza la Taifa la usalama.
6. Sergei Shoigu. Waziri wa Ulinzi.

Ndugu zanguni hawa ni miamba wachache ambao nimeona angalau nitolee mfano.
Ukiwaangalia hawa watu kila mtu ni nguli wa eneo fulani na wapo kwenye serikali si chini ya miaka 10.
Miamba wanaweza wakawa wanahama kutoka eneo moja kwenda lingine lakini wapo.
Ukichukua serikali nyingi za sasa hata US ukawapambanisha na hawa Miamba ni kama unawaonea tu aise. Yaani Hawa maimba ni Galaticos.

Putin yupo hapo tangu 2000, amepambana na Bush, Obama na kisiki Trump. Amepitia mikiki mikiki anawajua US and Co in and out. Babu Biden kwake Hana jipya.

Sergei Lavrov yupo foreign ministry tangu 2004. Amepambana na Condi, amepambana na kina Pompeo and Co. Huyu Blinken anamuona mrembo tu aise.Kabla ya hapo alikuwa balozi umoja wa mataifa, anazijua Kona zote, diplomasia imekaa. Miaka 18 kwenye foreign ministry.

Mwamba Peskov yupo Klemrin tangu miaka ya 2006. Ni mwamba kweli kweli kwenye usemaji. Anawajua Westerners inje ndani hawampi kichwa hata kidogo kwenye propaganda aise. Jumlisha mwamba Anatoly Antonov, amewahi kuwa naibu waziri wa Ulinzi na mambo ya nje, Dmitry Medvedev, Sergei Ivanov.N.k.

Kwahiyo ukiona Urusi anawatoa watu kamasi, moja ya msingi ni huu, kuwa na Nguli, na veterans kwenye maeneo tofauti tofauti ambao wanajua uhuni wote wa dunia hii. Ambao wanajua chocho zote na wanaoweza kupanga Jambo likapangika.
Sisi huku kila baada ya miaka miwili sura mpya, hawajulikani wametoka wapi. Anayejitahidi anakaa miaka mitano na wale wanaodumu ni wale wenye sifa za uchawa, very unproffesionall.

Yaani kwetu ukimuangalia waziri huoni ule uzito kwenye nafasi aliyopo. Huoni kitu Cha maana alichokifanya hapo alipo.
Wizara ukiifanyia tathmini leo haina tofauti na ilivyokuwa 2004. Labda yamebadilika majengo, magari na watu. Huoni Wanaume wa shoka waliokaa pale wanaosimamia vitu vya maana. Ni watu wanakuja wanapiga salary ya waziri wanaondoka, anakuja mwingine anapiga Salary anaondoka.

Ndugu zanguni kwa mtindo huu ni k hatuwezi kupiga hatua.
Nadhani tufike mahali tuweke utaratibu tuwape viongozi waandamizi mda wa kutosha, wapange mipango, watafute wandani wao wa kuwasaidia kusimamia mipango. Miaka mitano ni mda wa kujifunza. Baada ya hapo aangalau wapewe miaka mingine 10 ili sasa wafanye kazi. Tuanze na Chifu, tumpe hadi 2035.

Baada ya miaka hii minne atakuwa amejifunza Sasa baada ya hapo ataanza kupanga na kusimamia mipango ya Inchi na atafafuta watu wa kumsaidia ambao ni nguli na ambao atawaamini kwa mda mrefu atakuwa ameilewa serikali na atakuwa amepata nafasi ya kuwajua vizuri watu wanaomfaa. Hatahadaika na vipara na miwani au skafu za kijani.

Ndugu zanguni hata hapa kwetu somo lipo. Hapo tu Ufipa, CHADEMA imekua taasisi imara kwakuwa yupo mwamba, ameaminiwa na akapewa mda wa kutosha karibia 18 sasa. Amejifunza akazielewaa siasa na sasa za bongo na anawatoa kamasi wanakijani, ameijenga CDM. Sasa ni Taasisi imara kiasi kwamba 2015 Watanzania walitaka kuipa dora. Kama tunaona Urusi mbali tuchukue basi hata hilo somo la hapo Ufipa.

Tunazidiwa akili hadi na Zito jamani. Mkuu wa Chama, Ayatola, mbona ameshaliona mapema hilo, akaazima pale Tehran.
Sina tatizo na ulichoongea kuhusu uimara wa Urusi na hiyo crue uliyootaja.

Sina shida na hoja yako kuhusu Urusi kujijenga. Pia nikusaidie, aliyeanzisha mapinduzi ya kuifufua Urusi ni Boris Yeltsin. Aliwahi kubadili Mawaziri wakuu watatu ndani ya mwezi mmoja hadi kumpata Hon. Putin. Kabla ya Putin alikuwa Viktor Chernomyrdin. Huyu alianza kupiga sana wahuni wa Chechnya.

Sasa, kuhusu hoja yako: siasa za nchi zinatokana na historia ya kila nchi husika. Siasa za nchi ikiwemo demokrasia yake ya kupata viongozi siyo chupa ya cocacola. Tanzania ina historia na mifumo tofauti inayoongoza dola. Uimara wa Taifa letu hadi sasa umetokana na msingi wa kuheshimu awamu za uongozi na cheo kuwa Dhamana. Utakaa leo kesho unaweza kuondoka. Pia, US ina historia yake, Israel, Iran nk.🙏🙏🙏
 
kwahiyo unataka kusema viongozi wawe wanakaa madarakani muda mrefu hata awamu zao zikiisha ?
Hapana mkuu. Tuimarishe demokrasia. Tuondoe upuuzi wa lime limits. Kiongozi akizingua atolewe chapu. Kiongozi akiwa mzuri aachwe achape kazi mambo ya vipindi tupa kule
 
Sina tatizo na ulichoongea kuhusu uimara wa Urusi na hiyo crue uliyootaja.
Sina shida na hoja yako kuhusu Urusi kujijenga. Pia nikusaidie, aliyeanzisha mapinduzi ya kuifufua Urusi ni Boris Yeltsin. Aliwahi kubadili Mawaziri wakuu watatu ndani ya mwezi mmoja hadi kumpata Hon. Putin. Kabla ya Putin alikuwa Viktor Chernomyrdin. Huyu alianza kupiga sana wahuni wa Chechnya.

Sasa, kuhusu hoja yako: siasa za nchi zinatokana na historia ya kila nchi husika. Siasa za nchi ikiwemo demokrasia yake ya kupata viongozi siyo chupa ya cocacola. Tanzania ina historia na mifumo tofauti inayoongoza dola. Uimara wa Taifa letu hadi sasa umetokana na msingi wa kuheshimu awamu za uongozi na cheo kuwa Dhamana. Utakaa leo kesho unaweza kuondoka. Pia, US ina historia yake, Israel, Iran nk.🙏🙏🙏
Hatuna uimara wowote. Bali tumekuwa waoga. Hatujaribu mambo mapya. Tumebaki kwenye Comfort zone. Hatupigi hatua. Our leaders don't take risks. Hatuko aggressive tunaziwa hata na Rwanda kwenye agressiveness. Yaani hadi Kenya au Malawi atuguse kalio ndiyo tunashtuka.

Unauona huo mgogoro wa Russia na Ukraine. Watu wamekataa kubaki kwenye Comfort zone. You don't disturb you remain stagnat. Sasa wamechukuaje risk kila mtu kadri ya uwezo wake. Kila mtu anajaribu kucheA turufu yake.
Unajua kabisa baada ya vita hivi kutakuwa na chnages nyingi, politically aand economically at both Nationa and International.
So Kuna watu watapigika na Kuna watu wataibuka na neema.
 
Hatuna uimara wowote. Bali tumekuwa waoga. Hatujaribu mambo mapya. Tumebaki kwenye Comfort zone. Hatupigi hatua. Our leaders don't take risks. Unauona huo mgogoro wa Russia na Ukraine. Watu wamekataa kubaki kwenye Comfort zone. You don't disturb you remain stagnat. Sasa wamechukuaje risk kila mtu kadri ya uwezo wake. Kila mtu anajaribu kucheA turufu yake.
Unajua kabisa baada ya vita hivi kutakuwa na chnages nyingi, politically aand economically at both Nationa and International.
So Kuna watu watapigika na Kuna watu wataibuka na neema.
Mambo mengi ya history za nchi huwa hayaendi kwa utaratibu wa "Watu kujaribu!" Kwa mfano, huwa nasema, 'Huwezi kujaribu muundo wa Serikali tatu!' Hiyo ni njia rahisi ya kuvujanja Muungano.

Sasa Urusi, historia yake inajulikana. Tanzania , US, Israel, Iran, Ujerumani nk zitakwenda kwa historia zao. Hata zikitaka kufanya Mapinduzi ya maendeleo lazima yaendane na historia zao na 'Si kujaribu! Gorbachev's alijaribu akaisambaratisha USSR 😀😀. Yeltsin akaianzisha Hon. Putin anaindeleza.
 
Basi

Sawa tuendelee kungangania hiyo historia ambayo haina msaada wowote. Maana hatusogei kwahiyo haina maana.
 
Back
Top Bottom