Recent content by Dr.Livingstone

  1. D

    Kusafirisha asali nje ya nchi

    Naomba contact zako mkuu
  2. D

    Waziri Mwakyembe aiagiza BASATA washirikiane na Jeshi la Polisi kumchukulia hatua Dudubaya

    kisheria hana kosa lolote na akikamatwa au kufungwa ni kukosa weledi wa kazi, ila kiubinadamu kakosea, mtu hawezi kufungwa kwa kukosa kusymphatize na mtu mwengine aliye matatizoni. ni sawa na mtu kukataa kumsaidia mtu ombaomba ambaye ajala siku nzima alafu atokee mtu aseme ufungwe kwa kukataa...
  3. D

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    inaitwaje hiyo platform?
  4. D

    Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Rushwa ndio tatizo kubwa Bongo, ndio maana we never progress. Sio kila mtu ana uwezo wa kuhonga pesa kwa sababu moja au nyingine, kupitia rushwa vijana wengine wa kitanzania wamekosa fursa nyingi ndani na nje ya nchi ambazo zingeweza kuja inua uchumi wa taifa lao. Hakuna watu wanaonikwaza kama...
  5. D

    Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

    usiogope, mtegemee Mungu nawe utashinda.
  6. D

    Why do i still miss him jamani

    mimi ni mgeni in JF, but ninachoweza shauri ni kuwa its always had to break love attachments, huyo mtoto mtakuja msumbua kisaikolojia huko mbele, so think about this too. its not about you parents, its about the child.
Back
Top Bottom