witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,098
Aiseee...Ukimya ni mbaya saana. Nilimgundua huyu jamaa.
Ukitaka kujua ni mpigaji
Tafuta hizi Id
1. Britanicca
2. DR RWEYENDERA
3. Katelelo
Tena utakuta sehemu Katelelo anamsifu britanicca saana.
Baadae DR.RWEYENDERA anaanzisha uzi anampa pasi Britanicca britanicca anarudisha pasi kwa Katelelo halafu britanicca akamaliza mchezo. Kapiga zaidi ya usd 670
Huyu jamaa huwezi dhania kule mwanzoni anavyoelezea na kuonya watu wasipende vya kuunganishiwa!