acha utani bana.....laana unatoa wewe? kuna watu wanauwawa kila siku huja walaani wauaji then unalaani wapigania ukombozi? wapinania ukombozi mara zote huchangia ukombozi hadi kwa damu...laana ina wewe bila shaka kwa sababu unashiba vya dhuluma. Hao wamama wenzangu waliouwawa Igunga hujawaona?
Kwa vyovyote vile mwaka 2015 tunahitaji rais mpya, na maandalizi ni lazima yaanze sasa, wanachi wameisha ichoka ccm, huko kanda ya kati tumeshuhudia wenyewe...watu wameuwawa ili wengine washinde HADI WANAWAKE WENZANGU, inauma sana!. Nawaomba sana CDM anzeni sasa hivi kuzunguka kijiji hadi kijiji...
Jamani jamani nchi yanguTanzania! hapo ndipo kisiwa cha amani kilipofika maskini! kweli? unaua ili kupata ushindi?kwa ajili ya kumwongoza nani? ukweli haufichwi kamwe.....mnauana hata nyie kwa nyie ili kupata madaraka....tuwaombee Mwakembe na Mwandosya tena watu wa kwetu MBEYA kulikoni?
Kwani kwako wewe wenye pesa ni kila RA na wewe ni nani hapa? Mjumbe wa kamati kuu au afsa usalama?
CDM anzisheni huo mfuko ili tuujaze mapesa halali...hii itasaidia CDM kujikita vijijini zaidi na kubomoa ngome za mafisadi na kampeni hizi zifanywe kwa Chopa haraka haraka tena kijiji kwa kijiji...
Cha ajabu hawa polisi tunaishi nao mtaani..........na ndo wa kwanza kujenga mazingira ya chuki na wananchi..mwanamke au babu ana vurugu gani mpaka akabwe na FFU 8? siku zenu zinahesabika
CCM hivi karibuni watakabidhi nchi (2015) hayo madhambi yao na vibaraka wao polisi wakiwemo, tume ya uchaguzi nk kesi zao zitafufuliwa upya na watashikishwa adabu.
Kwa kweli inaumiza sana kuona taifa, majimbo na kata vinaongozwa na watu ambao hawakuchaguliwa kihalali na wananchi bali wamechaguliwa na CCM inayodhani ina haki ya kumiliki taifa hili. Chaguzi mbalimbali nchini na matokeo yake ni ushahidi wa kutosha unaoonyesha kuwa hali hii itaendelea kuwa...
Kwa jinsi matokeo yanavyoeendelea Igunga hata kama ccm ingeshinda kitu ambacho ni kigumu bado inaonyesha wazi wazi kwamba 2015 ccm hawana lao. CCM has lost the mandate of leading this nation.
huyu jaji huwenda alichakachua vyetu..sidhani kama ni jaji kweli. Atakumbukwa kwa kusaliti demokrasia na kuwatia watanzania katika hatia ya kuongozwa kinyume na matakwa yao...hafai
Wakati umefika wa wananchi kuwateka viongozi wa upinzani wanaotumiwa wakati wa chaguzi na kuwaficha mahali hadi kumalizika upigaji kur. Hawa wanatumiwa sana kuvuruga mageuzi...ni wasaliti...hata igunga wapo na wamelipwa miopesa
huyu machache wa ITV ndiye aliyesema kina Rost utamu ni mafisadi papa na sasa anawasaidia kwa ki TV chake..manake nini kama sio unafiki mkubwa? freedom is coming today! CCM wako hoi sana na hizi ni dalili njema kwa wazaleno wa kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.