Recent content by Dr Friend

  1. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Ni soko gani Dar linaongoza kuwa na mazaga ya bei rahisi?

    kama yupo maeneo ya mjini, basi afike tandika sterio, Hilo ndio siko linaongoza kwa gharama ya chini kwa mahitaji ya chakula
  2. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Kosa gani la kifedha au kiuchumi ulilifanya ukajutia?

    Sa unachukuaje mkopo kwenda kujenga boss! moja ya ushauri unapohitaji kuchukua mkopo, pesa unayoomba iwe sawa na ulionayo au iwe ndogo kuliko ulonayo, ukiona dalili za kushindwa kulipa, unachukua pesa yako unalipa, Pesa usikope kwenda kununua vitu ambavyo havizalishi, mfano samani za ndani...
  3. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wananchi wapinga Tozo ya Usalama wa Mtandao kupitia Miamala ya Benki na Simu

    Sisi hua tunaiga mitindo ya mavazi na tabia za ajabu ajabu, Ila hatuigi mifano ya kuinuka na kupinga mambo yanayo anzishwa na viongozi yenye maslahi kwao huku yakimkandamiza mwananchi. ✍️🧠
  4. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    😔😔Nikiwa na Miaka 18, nilipata shavu Kwa kampuni moja, nilipata pes nyingi, ktk account nilikuw na kama M 3 hapo nina miez m 7 ktk kaz. Na ulikuwa ni mwaka 1 tangu nimehitimu Kidato cha 4 Sas sijui nizifanyie kitu gan, Nikamshirikish mzee, cha kwanz alinisihi ninunue kiwanja, Daaah..!! Mm akil...
  5. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Ilikuwa ni zamani, ambapo viongozi walikuw wazalendo,sio zama hizi !. Unajua kwa nn nyerere alipiga marufuku matajiri wasigombee nafasi za uongozi au kupewa uongozi. Think twice Mr ✍️🧠
  6. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Huyo hakusoma hiyo miswaada iliopitishwa na kuwa sheria ktk tume ya uchaguzi ndio maana anakurupuka, angesom vizuri asinge andika asichokijua. Watanzanzia wengi hatuna tabia ya kujifunza mambo ya msingi au kusoma, ili kuepuka kufuata mkumbo, ukweli simshangai maana kama "Huijui akiba ni...
  7. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania TASAC yatoa taarifa kuwa Wahanga 17 wameshaokolewa katika ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Maman Benita

    Mungu abariki na hao 10 ambao hawajapatikana, wapatikane wakiwa salama 🙏
  8. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Togo: Upinzani waitisha Maandamano kupinga Ucheleweshwaji wa Uchaguzi

    Africa yetu wananchi washashtuka, Viongozi wanatengeneza mifumo ya kuwanufaisha watu wachache, Hasahasa wao na nafamilia zao, huku maisha ya wananchi yakibakia kuwa magumu Tunahitaji mabadiliko ndio tiba 🙏
  9. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    ✍️🧠Nimesoma vizuri huo uzi, nilichogundua viongozi wetu ni walafi wa madaraka, yaani uongozi umegeuzwa mitaji, Sasa hivi kiongozi hatafuti uongozi ili kusimama badala ya wananchi ni kwa maslahi yake binafsi. Ukichunguza vizuri hiyo miswaada iliopitishwa na kuwa sheria, kilichobadirika ni maneno...
  10. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    Johannesburg Ni miongoni mwa majiji hatari duniani, inashika nafasi ya 5 Ndugu yangu aliwahi kunusulika mara 3 kupigwa risasi, aliwahi sema hatowaza au kutamani kuishi south africa pamoja na kuwa alikuwa na ajira ya kulipwa pesa nyingi yupo TZ na anaendele vizuri na maisha yake😔 Pole sana kwa...
  11. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Hii sheria ipo kwa hawa viongozi wa chini tu ama na viongozi wa juu, Maana kesi za mabilioni zinafunikwa tu !!😊
  12. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Mi silijui hilo,mbona ktk mafundisho yao hawatumi neno ni lazima Ila "Nawasihi ndugu zangu waislam" 😊 Basi kama ni lazima, Waachiwe nchi yao 🙌
  13. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Mpendwa dini gani inamlazimisha mtu kutii mafundisho au maagizo yake, dini inakufundisha kutii mafundisho juu imani hiyo, Maana yake unaweza ukayafanyia kazi au usiyafanyie kazi utakayofundishwa Ingekuwa ni lazima watu wengi hadi sasa wangekuwa hawana dini Maana imani hailazimishwi, hilo ni...
  14. Dr Friend

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    ✍️🧠Linapokuja swala la kulazimisha mtu afuate unachokiamini ktk imani, inamaanisha hakuna maana ya kungoja hiyo hukumu unayo ihubiri kwa watu ktk kuingoja, mana tayari umeshaanza kuitoa wewe na sio Mungu kama unavyohubiri watu kwa Mungu kuna pande mbili tu, 1.kumkubali/kumkiri 2.Au kumkataaa...
Back
Top Bottom