Recent content by Dr Faustine Ndugulile

  1. Dr Faustine Ndugulile

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Kwa majibu haya, inawezekana una ugonjwa wa kisukari na hiyo ganzi ni madhara ya kuwa na kisukari kwa muda mrefu bila kutibiwa. Nakushauri ufike kituo cha kutolea huduma za afya na kupata matibabu na ushauri wa kitaalamu.
  2. Dr Faustine Ndugulile

    Hospitali ya Ocean Road na changamoto ya vifo vya wagonjwa

    Tuhuma hizi ni nzito. Tutafuatilia kubaini ukweli wake na kuchukua hatua. Lengo la Serikali ni kuhakikisha zinatolewa kwa uadilifu na kwa kuzingatia maadili ya taaluma katika sekta ya afya. Mwenye maelezo mahsusi ambayo yanaweza kutusaidia kwenye ufuatiliaji huu asisite kuwasiliana nasi. Dkt...
  3. Dr Faustine Ndugulile

    50+ angalieni afya zenu kujiepusha na magonjwa sugu na vifo vya ghafla

    Sahihi kabisa. Hata walio chini ya miaka 50 wanahitaji kuzingatia misingi ya lishe, kufanya mazoezi, kupunguza matumizi ya vileo na kupima afya zao mara kwa mara.
  4. Dr Faustine Ndugulile

    Hospitali ya Mwananyamala imempoteza ndugu yangu kizembe

    Pole sana kwa kuondokewa na mpendwa wako. Naomba tuwasiliane ili kupata maelezo zaidi yatakoyowezesha sisi kufuatilia suala hili. Dkt Ndugulile
  5. Dr Faustine Ndugulile

    Serikali na TAKUKURU muimulike Hospitali ya Mkapa Dodoma

    Nimeiona taarifa. Naomba uwasiliane nami kwa maelezo zaidi tuweze kuchukua hatua. Asante
  6. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    TAARIFA Jana tarehe 18 Septemba 2017, Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) akiambatana na Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt Medard Kalemani (Mb) walifanya ziara ya kukagua miradi ya umeme inayolisha Dar Es Salaam na hususan Kigamboni. Ziara hii ilijumuisha Kamishna wa...
  7. Dr Faustine Ndugulile

    Dr. F Ndugulile tunaomba msaada wako juu ya viwanda hivi vilivyoko kibada vinavyomilikiwa na wachina

    Nashukuru kwa taarifa. Naomba tuwasiliane inbox kwa hatua zaidi. Dkt Faustine Ndugulile Mb
  8. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Kuna juhudi zinaendelea za kutaka kukarabati barabara za Kisota kwa ushirikiano kati ya wakazi wa Kisota ba Halmashauri. Kama ni mkazi wa eneo na hauko kwenye mtandao wa wakazi wa Kisota. Ni-inbox jina na namba yako ili uweze kuunganishwa na kupata taarifa ya kinachoendelea.
  9. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Barabara ya Kibada-Mwasonga ipo kwenye mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami. Kwa mwaka ujao wa fedha upembuzi yakinifu unaendelea. Natambua kuwa barabara hii imeharibika sana katika kipindi hiki cha mvua. Tayari nimeshawajulisha Tanroads kuikagua na kuchukua hatua za dharura. Matenngenezo...
  10. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Nakushukuru kwa kunitia moyo. Natambua changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara Kigamboni. Hii inasababishwa na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja: 1. Mahitaji ya umeme Kigamboni ni 20MW lakini tunapata 8MW. 2. Laini tunayopata Kigamboni inaanzia Kipawa na inahudumia pia Mbagala, Mkuranga na maeneo...
  11. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Naomba unijulishe kitongoji ulichopo ili niweze kukupa taarifa iliyo sahihi. Asante Dkt Ndugulile Mb Kigamboni 18.01.2017
  12. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Ninaamini Maxence Melo AshaDii watalifanyia kazi suala hili. Taarifa zote muhimu zipo.
  13. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Niko makini. Nashukuru kwa Ushirikiano ambao wananchi wa Kigamboni wanaendelea kunipa katika kusimamia maendeleo ya Kigamboni.
  14. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Kigamboni ni Halmashauri Mpya. Tunarajia ucheleweshaji na urasimu utoaji wa vibali kutokuwepo. Kama ulipeleka maombi yako Temeke na haujapata kibali, bado ninaweza kukusaidia. Wasiliana nami.
  15. Dr Faustine Ndugulile

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Nashukuru Ndugu Nyabhingi kwa maoni yako. Kimsingi, michoro kwa ajili ya kipande kilichobaki imekamilika. Tunatarajia kazi kuanza muda wowote. Suala la tozo pamoja na ufanisi wa huduma pale darajani ninaendelea kulifuatilia. Kumekuwa na kutupiana mpira kati ya NSSF, Wizara ya Ujenzi na SUMATRA...
Back
Top Bottom