Recent content by Dr. Emmanuel Malisa

  1. Dr. Emmanuel Malisa

    Maombi Maalumu ya Kumwombea Dr. Magufuli Uingereza.

    Baraka za Mungu hazichagui mtu, bali yeyote aliyetayari kuzipata na kuzitumikia basi Mungu humpa bila hiana. Isitoshe hakuna mwenye haki dhidi ya mwingine hapa duniani sote ni wenye dhambi, huyu ni rais wetu sasa hatuna budi tumwombee
  2. Dr. Emmanuel Malisa

    Rais Magufuli anayofanya yote sawa, ila akigusa Katiba mpya Roho ya CCM!

    We hiyo ndio kinga yake kwa sasa. Hataibadilisha kujipunguzia madaraka maana anataka kuitumia hiyo nyuklia kwenye vita yake na mafisadi
  3. Dr. Emmanuel Malisa

    Usiruhusu mtu a-hack account yako

    Nimeipenda hii thread yako siku nyingine usisite kutupa maujuzi kama haya
  4. Dr. Emmanuel Malisa

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Katika historia ya dunia hajawahi kutokea rais dhaifu kama Mh. JK.Kikwete sijawahi kupata hata mfano wake kwakweli, watz tumedharaulika mno kwa sababu yake
  5. Dr. Emmanuel Malisa

    Kumbe hawa matajiri wa kitanzania ndio maana hawana vitabu vya historia zao!

    Hakuna pengine ambapo utapata maelezo ya utajiri wao zaidi ya kwenye #LIST OF SHAME
  6. Dr. Emmanuel Malisa

    Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Nimejikaza nisiseme lakini ngoja niseme tu. Yani sipati picha namna angeanzaje anzaje kuzirudisha zile fedha alizokuwa anagawa makanisani, misikitini na kwa vijana wetu wa boda boda kama anatupia kuku mchele. Sijui angewafanya nini Mwakyembe, Dr. Slaa, Kikwete, viherehere wote na wajumbe wa...
  7. Dr. Emmanuel Malisa

    Maajabu yatokea Tanzania

    hahahahaha..........
  8. Dr. Emmanuel Malisa

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kujitia najisi, ubaradhuli wake kujionyesha mzalendo kwa kupanda daladala Tandale ndio uzalendo kweli??? Alikua wapi pindi vyama vingi vimeanzishwa hadi sasa? Kama alifikiri IKULU yetu inapewa watu mashuhuri Mr. Nice angeingia magogoni 2005
  9. Dr. Emmanuel Malisa

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Si wewe tu umeliona hili hata tume ya uchaguzi (NEC) walifanya kazi nzuri sana na wanastahili kupongezwa.
  10. Dr. Emmanuel Malisa

    Mambo matano muhimu yaliyochangia kushindwa kwa Lowassa

    Kushindwa kuonyesha uwezo wake kiutendaji kama mbunge wa Monduli kwa kipindi chote cha uongozi wake kwa miaka 25 Pamoja na kuwa kada wa CCM kwa muda mrefu alidiriki kuitupia uchafu CCM ambayo imemlea kwa miaka zaidi ya arobaini akiwa kama mmoja wa waliofaidika nayo. Kutoonyesha makeke...
  11. Dr. Emmanuel Malisa

    Uwepo wa Lowassa UKAWA umeongeza majimbo na kura

    Alipitishwa kugombea na wachache watakaomtetea ni wachache pia
Back
Top Bottom