sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,489
Leo majira ya saa kumi jioni kutakuwa na maombi maalum ya kumwombea Dr. Magufuli huko Uingereza yatafanyika Bank Holiday ambapo mgeni wa Heshima atakuwa Naibu Balozi wa Tanzania Uingereza Mr. Msafiri Marwa pamoja na Bishop Francis Sarpong na Pastor Mkuu Swahili Bob Baraka.
Name nawakumbusha wale mabishop wa kufanya maombi maalum ya kumwombea Dr. Magufuli na serikali yake hata kama uliyedhamiria achaguliwe kama hakuchaguliwa kwani hata maandiko Matakatifu yanasema Shukuruni kwa kila jambo.