Wakulima na wafugaji walio wengi hupenda kusikia yale wanayopenda kusikia. Mathalani, wengi hufikiri kilimo na ufugaji ni njia ya mkato ya kutajirika.
Kilimo na ufugaji huhitaji uwekezaji, kujitoa, bidii ya kazi na kutokata tamaa ili kuiendea njia ya mafanikio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.