Sawa kuna mengi ila nilikua na haraka... iko hivi,,
Maini ndipo sehemu ambapo Iron toka kwenye breakdown ya Red blood cell hutuzwa hivo, maini ni chanzo kikubwa cha iron ambayo husaidia katika uzalishaji wa chembe hai nyekundu za damu.
Maini pia ni chanzo kikubwa cha folate, Maini ni chanzo...