Recent content by Dr Arshavin

  1. Dr Arshavin

    Jifunze Kusema HAPANA: Linda Muda na Malengo Yako

    Jifunze kusema HAPANA. Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako. Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus na wanabaki nyuma si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawawezi kusema hapana. Ukishindwa...
  2. Dr Arshavin

    Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  3. Dr Arshavin

    Miaka 20-40: Ramani ya Uzeeni au?

    Kama Umri Wako Unasoma Miaka 20 – 40, Uko Kwenye Daraja Hatari Zaidi. Hapa Ndipo Unapochora Ramani Ya Uzeeni Kwako, Au Unapochimba Kaburi La Majuto Yako. Kabla 50 Haijakugonga Ukaanza Kuilaumu Dunia; Shika Hizi Kanuni. Na Zikukae Kichwani Mpaka Unazeeka↓ Kwanza kabisa, jifunze kuamsha mwili...
  4. Dr Arshavin

    Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    agreed 😂 yeah tunaishi kujifunza
  5. Dr Arshavin

    Jenga Uhusiano Imara: Mwongozo Kamili

    Wanaume na wanawake wote wanatamani mapenzi, utulivu na kuhisi kuthaminiwa. Ukitaka uhusiano wako udumu, soma hii kwa umakini sana!! 1. Baki single mpaka umvutie mtu sahihi, mtu ambaye yuko tayari kukupenda bila masharti ya ajabu. 2. Jitunze mwenyewe. Jinunulie zawadi, jifurahishe na...
  6. Dr Arshavin

    Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu. Lakini wewe? Akili yako inaenda mbali zaidi. Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
  7. Dr Arshavin

    Tajiri wa Kesho: Mchakato wa Mafanikio

    TAJIRI WA KESHO YUKO KWENYE MCHAKATO LEO! Usifikirie uko nyuma fikiri uko njiani. Kila hatua unayoichukua leo ni tofauti kati ya wewe wa sasa na tajiri utakayekuwa kesho. Mchakato Unauma Lakini Unabadilisha Mohammed Dewji leo anaitwa bilionea mdogo zaidi Afrika. Lakini kabla ya hapo...
  8. Dr Arshavin

    Muangalie Anayekushinda: Jifunze Tabia Zake

    MUANGALIE MTU ANAYEKUSHINDA... KISHA UJITAZAME WEWE Nataka ufanye kitu kimoja leo. Muangalie mtu ambaye ni bora kuliko wewe hapo kazini. Muangalie mwanafunzi ambaye kila mara anapata matokeo makubwa kuliko wewe darasani. Muangalie mfanyabiashara ambaye biashara yake inakua kwa kasi kuliko...
  9. Dr Arshavin

    Kanuni 30 za Afya kwa Wanaume Kabla ya miaka 35

    CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35. HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA. 1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone kitaanza kushuka ukifikisha miaka 30. Nyanyua vyuma, pata usingizi wa kutosha na kula lishe bora ili...
Back
Top Bottom