mimi siwezi kufurahi eti tumekidhi vigezo vya kupewa msaada,kwani kiwira,williamson,songas,buzwagi,nyamongo,kahama gold,ziwa victoria,ziwa tanganyika,tanga-mtwara coast,serengeti,selou,tarangire etc na rasilimali nyingine kibao tunazifanyia nini mpaka tupewe msaada.sisi ndio tunatakiwa tuwasaidie