Yametokea tena Bariadi halmashauri ya mji. Kuna AMO ambaye majuzi kateuliwa kuwa incharge wa kituo cha afya kilichopo ndani ya Halmashauri ya mji wa Bariadi, uteuzi ambao ni sahihi, hauna shida na umekidhi vigezo. Wakati huo kuna MD ambaye alikuwa amependekezwa kuwa TMO (Town Medical Officer of Health) cheo kilicho sawa na DMO kwenye halmashauri ya wilaya.
Ghafla madiwani wamemteua huyo AMO incharge wa kituo cha afya kuwa TMO na kumweka kando MD mwenye sifa.
Tamthilia inaendelea!
Ghafla madiwani wamemteua huyo AMO incharge wa kituo cha afya kuwa TMO na kumweka kando MD mwenye sifa.
Tamthilia inaendelea!