Recent content by Dr am 4 real PhD

  1. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Mkuu nyinyi ni watu wenye LAWAMA hapo ni vigezo na masharti. Inakuaje mpaka mna haribu icho kidude cha LUKU NB. Jana nikiwa nyumbani remote ya TV wanamwachia mtoto mpaka kapasua the same Jana naona kidude cha kuwekea LUKU WANAMPA MTOTO ACHEZEE ANAKIPIGIZA PIGIZA NIKAWAKATA JICHO...NIKAWAAMBIA...
  2. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    New moon ndio nini
  3. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    Leo mvua day elnino inaanza
  4. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Huyo brother anaonyesha alikua anapiga pombeee
  6. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    Kijana wangu salamaleko, haya maisha na mambo ya ndoa acha tu ni hatare..
  7. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Kuna mzee mmoja wa kikurya aliwai nambia hivii nanukuu"MWANAMKE ANA MASIKIO MATATU SIKIO LA TATU LIPO KWENYE JAGINA/ PAPUCHI YAKE" Hakunaa kitu kinauma kama mtu unampenda yeye anampenda mwingine
  8. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Acha tu Mi nasemaga ivii.. nilipataga scenerio kama Yako.. Mimi ni heartless siwezi muua MWANAMKE Test ya maumivu ya mapenzi nili Iona Mimi sinaga upendo tena na sibabaishwi na mapenzi Nilikonda sana, sikua nakula,sikulala mpaka nikawa naulizwa kua naumwa..nikawa sitoki nje,, nikajaga...
  9. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Mambo ya mapenzi yaacheni TU kama uliwahi zama penzini nakuhakikishia Kila mwanadamu ana ukichaa wake Mapenzi yameua wengi
  10. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la hatua dhidi ya matumizi ya lugha chafu katika Stendi ya Mwendokasi Mbezi kwa Nabii Mashimo

    Sauli ndie baadae alikuja kujulikana kama mtume Paulo Jamaaa alikua chinja chinja wakristo Hata Malaya anaweza kugeuka akatangaza injili galilaya
  11. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kwasasa mchongo ninaouskilizia ni kifo tu,uteuzi nimekosa,kazi za afya ni kuutafuta umasikini tu

    Pombe zinachosha mfano Mimi usiku nimekunywa asubuh nimekunywa hapa ndio zimepoa poa now nataka saa tisa ivii nianze tena kunywa Pombe zinachosha hupati muda wa kukumzisha akili Sisi wengine Kila siku ndio maisha yetu miaka zaidi ya mitano ni Kila siku. Kunywa pombe natamani niache pombeee...
  12. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kwasasa mchongo ninaouskilizia ni kifo tu,uteuzi nimekosa,kazi za afya ni kuutafuta umasikini tu

    Jamaa sijui anakwama wapiii aje tumuelekeze
Back
Top Bottom