Recent content by Dr Aluta

  1. Dr Aluta

    Njoo uniunganishie dot tafadhali

    sio waganga wote waongo. tena mwogope sana mganga wa kurithishwa.
  2. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    kwa nini usibebe jukumu la kuelezea hizo dhana. au sote ndo hatujui?
  3. Dr Aluta

    Wanawake: Mazungumzo haya yanatukera wanaume

    utakuta kizee nacho kinaitwa baby kisa kana mtonyo,hii dunia ina mambo
  4. Dr Aluta

    Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

    kwan ukizikiuka utakufa?
  5. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    mi nadhan mkuu Apollo amechambua kwa mapana tu.sasa mnaondelea kuzozana sielewi mna lengo gan?
  6. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    mkuu Apollo ubarikiwe sana kwa maarifa unayogawana nasi. nazidi kujiona mpya.
  7. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    Hata mi binafsi nimemuelewa sehem kubwa sana ila vp kuhusu hawa viumbe kama malaika, shetan na majin. asili yao nin?
  8. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    thanks mkuu ntaipitia
  9. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    anzisha uzi wako
  10. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    bora usiabud chochote kuliko kuabudu ng'ombe.
  11. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    good question...
  12. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    mkuu ni bora ukatoa maelezo ya kutosha ingefaa zaid, kwa mfano unapotaja tuelewe oksijen,carbon. na utoe maelezo hizo hewa chanzo chake ni kip?
  13. Dr Aluta

    Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

    Huo udongo ulijikusanya wenyewe?
Back
Top Bottom