Recent content by Dpipilo

  1. D

    "Teak timber needed"

    Contact me through 0655759192
  2. D

    Ushamba na Uongo wa Watanzania kwa sifa za Nyumba ya Mengi. Je ingekuwa kama hii watu mngesemaje?

    Acha ushamba wewe sasa sis hyo nyümba ya baba ako tumeionaaa
  3. D

    Tumefika hapa kuomba kibali cha kuweka jenereta

    Acha ujuaj ujumbe c umeupata
  4. D

    WCB, Diamond na Rayvanny watozwa Tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza'

    Nan kakwambia kuwa nyege ni tusi? Nyege ni hali ya kutama kufanya mapenzi. Nasio tendo ili liwe tusi ni lazima lihusishwe na kitendo. Matusi mengi unaojua wew ni vitenzi. Ila nyege sio kitenzi ni hali
  5. D

    Dewji hana Hela Cash, siyo Bilionea kihivyo!

    Bora unge kaka kimya uzi wako haulewek nan kakwambia cash ndo kipimo cha ubilionea? Et hana cash ana mali sasa hzo mali zimetokana na nn kama co cash. Utajili unapimwa kutokana na asset ulizonazo pamoja cash. Et mali alizonazo ni zetu au kwa sabab unaona ngoz nyeupe ndo unahis co mtanzania ...
  6. D

    Smartwatch

    Ni nzur lakin hyo bei yako duh
  7. D

    Ushauri wakuu nimwambie nini Mama

    Inategemea na hyo bebe kama mbovu hata kama mi mzaz lazima nikuwashie moto
  8. D

    Gari la mfanyakazi CRDB Moshi lakamatwa na polisi, wadai ni la wizi

    Habar yako haielewek af pia acha kufua jina la kampuni hcho kicha cha habari yako akiendan na ulichoandika kwann huyo mtuumiwa ucmtaje kwa majina ake had utaje CRDB?
  9. D

    Dar inawapotezea watu muda

    Mkuuu we ni mshabiki mtazamaji wa mafaniko ya wenzako. Sasa hayo magari na majumba mazur we binafsi unanufaika vip nayo. We binafsi unamirik nn. Au ndo wafurahia kuona hayo magari na majumba ya bakharesa. Think out the box
  10. D

    Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

    Sasa mmenufaika non au mnamaendeleo gan kutokana na kuwa na wing wa maproffesa weng kias hcho
  11. D

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Basis na we nenda karuke ukuta wa kambi. alafu wakuamuru usimame uctii amri. Ctaki kujua kitatokea nin. Ila Uzi wako nitaukuta hapa javin. Kila lahel
  12. D

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Umesahau kwamba ilikuwa usiku je kama akikuwa na mabom. Kwahyo ulitaka awadhuru AF uje javin hapa na Uzi wa UDHAIFU WA JESHI LA WANANCHI TANZANIA
  13. D

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Mkuu heb jtahid uelewa kujua huko hana kiwembe wala Silaha ni baada ya kuwa tayari kachezea risas. Hoja ya msingi unajuaje sasa kama hana silaha na wakatimhuo anakimbia kukufuata. Af hili ni jeshi na jeshi halina mtuumiwa wala mhalifu Lina ADUI TU
  14. D

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Mkuu hili ni JWTZ, karuka ukuta , usiku, kasimamishwa kagoma , risas imepgwa juu' anakumbia uelekeo wa wanajesh.
  15. D

    Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Mkuu heb tofautisha kati ya magerez, polisi na jeshi(JWTZ) hzo sheria unazosema sidhan kama iko applicable na JWTZ. Labda wataalam wa mambo ya usalama waje watueleze .Pili kumbuka kwamba ilikuwa mda wa usiku je kama ulikuwa ana bomu. Unapata wap ujasili kumkamata mtu husiku kwa mbinu nyngne mtu...
Back
Top Bottom