Cjui ni late cjui ni early... Ila ni ishirin na kituLate 20's
Kwa ujuavyo watalichukuliaje hlo? Wakiniuliza nikatae au nikubali then niombe radhi mkuu maana hawakuniona ni hadithi kapewa...Sioni cha wewe Kushauriwa Hapa!
Kweli mkuu hli ni somo...Late 20's??
'..kama dem sijamuoa nisijemlaza chumbani, na kama bado naishi na mama nyumbani/
Nisije sema nimekua ikiwa kwa mama sihami'
Yan ishirin na 2Kijana wa late 20’s Bado upo kwa Mama?!![]()
Ila nimejifunza likipita hili soo sirudii tenaHakuna ushauri, mzee mwenyewe anawaza akuanzeje malaika wake
Kwa ujuavyo watalichukuliaje hlo? Wakiniuliza nikatae au nikubali then niombe radhi mkuu maana hawakuniona ni hadithi kapewa...Hakuna ushauri, mzee mwenyewe anawaza akuanzeje malaika wake
By the way nimekuelewa vizur mkuu...Man, never take it to yo heart. Its your moment, just have fun,don't get stressed to normal things, they too, had experienced in someway. Just chill, go timeless, never pay attention to this. If theywill tell u something, it never in these very days. Sometimes it better to consummate love to as to experience the brain and body of a woman before making hard decisions
Tutamature nayo tu mkuu...Write your reply...Jf now day's kuna pre mature wengi mnoo Aisee
Nawaheshimu sana mpka sometimes nawaogopa ila nitapambana kiume...Sasa mkubwa ivo wakikuuliza utashindwa cha kujibu kwelii ?? Acha utanila usurudie tena
Nawaheshimu sana mpka sometimes nawaogopa ila nitapambana kiume...
Na naahid kutorudia tena mkuu....
Basi rekebisha andika early 20’s.Yan ishirin na 2
22 ni early twenties wewe late inaanzia 26 huko mpaka 29Yan ishirin na 2