Kufukuzwa siyo kitu rahisi kama unavyozani, au unafikiri shule hiyo itakuwa na walimu wawili tu?
Kuna walimu kibao watakuwepo hapo shule, siyo mkuu wa shule atafukuza bila walimu wenzake kujua,
Mwalimu atafukuzwa baada ya walimu wote kutambua, kosa litaonekana, na kama anafindisha every thing...
Kama hili lingetokea kwa WANYARWANDA, nafikiri dunia ingekuwa imeshatambua KAGAME ni nani?
Ndani ya masaa 24 balozi wa India angekuwa ameshandika barua ya maelezo isiyopungua kurasa 15 na angeiandika akiwa India.
Mwenge gharama zake ni kubwa muno tena kwa muda mfupi.
kama ni
kweli wanataka kupunguza gharama za serikali kurusha bunge live, wafute mbio
za mwenge then hiyo hela
itumike kurusha matangazo
ya bunge live.
Nchi hii inaendeshwa kihuni. Kama kweli lengo ni kuwahurumia wananchi juu ya kodi wanayolipa, basi wapunguziwe kodi pia ili ijulikane CCM wanania nzuri na wananchi. Kama kodi inabaki constant, basi hata tv iendelee kuwa live.
Kama wako tayari kupunguza kodi ninayolipa ya 13% kufikia 4% kwa mwezi, it is right.
Lakini siyo sawa kama hakuna mabadiliko kwenye kodi ninayolipa monthly kama nilivyoeleza.
Kama tatizo ni gharama, basi wapunguze posho za wabunge, mawaziri na Makatibu, na mishahara yao pia japo kwa 5%. Itatosha na kubakiwa na kiasi kikubwa cha kuendelea kurusha live kwa miaka miwili mbele.
Kwani mafundi hao wa tanesco hawalipwi mishahara? Futeni kauli ya "bure"
ndani ya kila unit ninayonunua kwa producer mimi kama mteja najua nalipia service charge, tax, na gharama zingine za usafirishajia(transport costs) hapo inakujaje nilipe service charge, VAT, REA etc. Wakati nimenunua units...
nchi haina mfumo maalum wa kupiga pesa, kila mmoja ananjia yake, baadhi wanaita service charge, wengine sumatra, na rea.
Sasa imetosha kama ni kuona tumeona, tuhurumien, 5,520 ya service charge ni kubwa sana, punguzeni mfanye hata 300
USHAURI WA BURE!
1. FUTENI MADRASAA ZA KILA SIKU, IPE SIKU MOJA MAALUM AMBAYO SIYO SIKU ZA SHULE, EG. JUMAPILI.
2. ONDOENI SWALA TANO KWA KILA MWANAFUNZI, WAPANGIENI SWALA MOJA TENA JION SAA KUMI NA MBILI KILA SIKU YA IJUMAA.
3. WAFUNDISHENI "MSHIKENI SANA ELIMU MSIMUACHE AENDE ZAKE" ELIMU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.