Mbio za mwenge zifutwe ili Bunge lirushwe live.

Dozencut

Senior Member
Apr 13, 2015
159
38
Mwenge gharama zake ni kubwa muno tena kwa muda mfupi.
kama ni
kweli wanataka kupunguza gharama za serikali kurusha bunge live, wafute mbio
za mwenge then hiyo hela
itumike kurusha matangazo
ya bunge live.
 
Zilishafutwa!!!!!

Queen Esther

Back
Top Bottom