Recent content by Doyyi

  1. Doyyi

    Unapoamka huwa unaanza na nini?

    ni kweli kabisa.
  2. Doyyi

    Ajali ya moto Msamvu inaleta picha ya udhaifu wa vyombo vya usalama

    Elimu ipo Kila mahali hata hayo magari yameandikwa "INFLAMMABLE" tena kwa rangi nyekundu na Kila mtu anajua tabia ya petroli, basi tu umasikini wa kipato ukikomaa huleta umasikini wa akili. Kwa hili Watanzania tujifunze kufanya kazi tuache tamaa.
  3. Doyyi

    Geita: Marufuku kwa watumishi kufuga ndevu na kuvaa t-shirt kazini

    Sidhani kama hilo ni tangazo halali. 1.Halina mhuri. 2.Halina nembo yoyote ya kitaifa/kimkoa. 3.Halina kichwa maalum cha tangazo. 4.Halina saini yoyote. SIDHANI KAMA NI TANGAZO HALALI LA KISERIKALI.
  4. Doyyi

    Kuna haja gani kujenga uzio?

    Kweli... Ukuta ni muhimu sana maana hata kama mtaa hauna vibaka bila ukuta siku wakiwatembelea kutoka mbali wanaingia ndani km kwao vile. Kingine watu hupenda kupanda miti ya matunda na kuacha vitu vingi tu vya thamani nje usiku, ukuta unapunguza tamaa ya wezi kuja kwako.
  5. Doyyi

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Umeshawaona Muhimbili au KCMC? Hebu jaribu kwanza kuwaona hao jamaa kuna dawa fulani inaotesha na kurudisha melanin ya ngozi upya. Ukiwaona watakushauri cha kufanya.
  6. Doyyi

    Patrick Oita Nyapara: Askari Polisi aliyemtandika mpenzi wake Risasi 47

    Hayo ndiyo madhara ya kumtegemea mwanadamu, iko wazi mwanaume alimtegemea sana huyo dada aidha kimapenzi au msaada wa kimaisha baada ya kumsomesha sasa anaona kila kitu hakiwezekani bila yeye...'that's foolish'. Tusiwezekeze kwa mtu baki kwa mikataba ya hovyo kama hiyo, kama unamsaidia msaidie...
  7. Doyyi

    Nawakumbusha tu kwamba kesho ni siku ya wajinga

    Usiwe na waswasi siku hii ya wajinga inaendelea kujifuta yenyewe taratiiibu, huko nyuma ilikuwa mpaka kero lamina sasa unaweza kukaa siku nzima wala usijue leo ni siku ya wajinga duniani. Kufutwa ni ngumu ila maudhui ya siku hii yatabadilika sana siku zijazo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Doyyi

    Nihamie king'amuzi gani wadau?

    Kweli huo nao ni ujanja, hayo madish ya ft 6 tulipata raha mno hayana kelele na mtu. Hv ving'amuzi ni shida tupu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Doyyi

    Nihamie king'amuzi gani wadau?

    Siyo mtu wa mpira saaana! Asante sana kwa ushauri. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Doyyi

    Nihamie king'amuzi gani wadau?

    Baada ya ving'amuzi vingi kuzingua niliamua kununua continental ila sasa nao ni pasua kichwa. Hawako hewani takriban mwezi sasa, nikiwapigia hawanijibu (wananiwekea miziki tu). Mbaya zaidi ni kama wamenisubiri nimelipia kifurushi siku ya nne tu wakakata chaneli mpaka leo kimya. Jamani kwa...
  11. Doyyi

    Daraja Busisi - Kigongo: TANROAD watangaza zabuni

    Imakaa sawa hii! Sasa Geita-Mwz route itaokolewa muda sana.
  12. Doyyi

    Nimenunua simu mtandaoni ikatumwa kwa posta leo nimeipata

    Umeagiza kwa bei/gharama sh. ngapi?
  13. Doyyi

    Watu washenzi ni kuwakwepa

    Maneno KUNTU haya, tukiyazingatia haya ugomvi utapungua sana. Asante sana
  14. Doyyi

    Mbaroni akituhumiwa kumuingilia kimwili mwanaye

    Wanaume wengi tumesahau wajibu wetu.....hahaha hata kutongoza unashindwa mpaka unabaka mtoto tena wako! Jamani tumrudie Mwenyezi Mungu yote haya yataisha ILA aliyetenda unyama huu sheria ichukue mkondo wake.
  15. Doyyi

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Ni aibu kwa Watanzania. 1.Eti idadi ya watu waliongia ktk kivuko hawaijui. 2.Uzito halisi wahusika hawaujui. 3.Kivuko cha watu 150 wanaingia takriban watu 400 na mizigo zaidi. 4.Vivuko vingi vina screen tvs ila zote zinapiga miziki na bongo muvi tu badala ya kutoa elimu ya usalama na jinsi ya...
Back
Top Bottom