yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 2,004
- 10,388
Basi samahani mpendwa!!!Hapana mkuu wewe ndiye unanidanganya. Tunazungumzia Wami.
Basi samahani mpendwa!!!Hapana mkuu wewe ndiye unanidanganya. Tunazungumzia Wami.
Asante pia kwa ushirikiano huwenda hukusoma maelezo vyema.Basi samahani mpendwa!!!
Kwanini Tanroads wasijenge wenyewe? Wataalam si wanao? Ma-Engineer wote walio nao wanafanya nini?Hii ni habari njema kwa wakazi kanda ya ziwa na magharibi.
Daraja urefu 3.2Km, na Barabara 1.66 Km
Hongera JPM na wote Kwa hatua hii.
Imakaa sawa hii! Sasa Geita-Mwz route itaokolewa muda sana.Hii ni habari njema kwa wakazi kanda ya ziwa na magharibi.
Daraja urefu 3.2Km, na Barabara 1.66 Km
Hongera JPM na wote Kwa hatua hii.
Wazo jema ,Tanroad waweke sharti Kampuni za kigeni,kufanya miradi kwa JV na Kampuni za wazawa., itasaidia kuinua Makampuni ya ndani uwezo.Kwanini Tanroads wasijenge wenyewe? Wataalam si wanao? Ma-Engineer wote walio nao wanafanya nini?
Hizo zabuni zinatolewa kwa makampuni ya kitanzania au ya nje?
Acha hizo wewe, labda kama unaongelea dunia ya chatoKilomita 3. Ndilo litakuwa refu duniani (Afrika mashariki na kati)
Acha hizo wewe, labda kama unaongelea dunia ya chato
Coco beach 6.7kmJapokuwa hakika sina lakini nadhani ndilo litakuwa lenye urefu ongozi kwa madaraja yaliyopo kwa sasa hapa Tanzania.
Kwa vile ni la huko nyumbani kwa Jiwe litakua la kupita bure.Lisije likawa lakulipia tukaanza kujutia uwepo wake maana CCM kuwaamini Yataka roho ngumu
Pumbafu nyamaza,Lisije likawa lakulipia tukaanza kujutia uwepo wake maana CCM kuwaamini Yataka roho ngumu
Hahaha hizo ndio sifa zetu siku hizi, kila kitu chetu ni bora zaidi, kikubwa zaidi, kizuri zaidi, kirefu zaidi, kipana zaidi Afrika mashariki, au na kati au Afrika nzima.Kilomita 3. Ndilo litakuwa refu duniani (Afrika mashariki na kati)
Wazo jema ,Tanroad waweke sharti Kampuni za kigeni,kufanya miradi kwa JV na Kampuni za wazawa., itasaidia kuinua Makampuni ya ndani uwezo.
[emoji3][emoji3]Hahaha hizo ndio sifa zetu siku hizi, kila kitu chetu ni bora zaidi, kikubwa zaidi, kizuri zaidi, kirefu zaidi, kipana zaidi Afrika mashariki, au na kati au Afrika nzima.
Hahaha ila korosho zetu ni bora dunia nzima to be axact, na zinapendwa sana dunia nzima na zina soko na bei ya kipekee huko kwenye soko la dunia. Alisema rais wetu kwamba hata dunia nzima inatushangaa maajabu tunayofanya.[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah.Hahaha ila korosho zetu ni bora dunia nzima to be axact, na zinapendwa sana dunia nzima na zina soko na bei ya kipekee huko kwenye soko la dunia. Alisema rais wetu kwamba hata dunia nzima inatushangaa maajabu tunayofanya.
Hivyo usishangae hizi sifa ni zetu awanu ya tano.
dah sijawahi tukanwa na jinsia Kama yako ila kwakua ni majira ya kuzaliwa mokozi nakusamehe buleePumbafu nyamaza,
Nimecheka kweliLisije likawa lakulipia tukaanza kujutia uwepo wake maana CCM kuwaamini Yataka roho ngumu