KAJIMALIZ MWENYEWE KAMA KINA MASHA, KAFULILA, NAAPA KWA MAONO YANGU HAWA WATU SIDHANI KAMA UTAWASIKIA WAKITAMBA TENA AU KUWA NA USHAWISHI MKUBWA TENA KAMA ILIVYOKUWA NYUMA. NAAMIN KUTOKUWA NA MSIMAMO KWAO NA UDHAIFU WALIOUOYESHA HAITAKAA ITOKEE WAKAAMINIKA TENA. KAMA WALIKUWA NA MPANGO WA KUPATA...
Kuna wanasiasa waliopo kujitolea juu ya wananchi kweli kweli, kuna waliopo juu ya mslai yao binafsi hili ni group kubwa sana hasa ma CCM, na kuna wale waliokosa kazi wakaingia kwa ajili ya kujulikana na kutafuta nianya yao ili wafanikishe kujulikana au kuwapa milango ya kufanya biashara. sasa...
Si unakumbuka kina Bongo movie walitumika hadi wengine kugawa K kina madalaka ya kulevya kuwa kuhisi wataambulia hata viti maalumu, unaonaje walivyoachwa solemba na wengine kama kila Ray watu waliahidi hawatakaa wanunue kazi zao tena juu ya usaliti. sasa wanalalamika mchawi kumbe hasira za watu...
siku hizi hata hawakubali kabisa wadada chini ya 25 yrs old, au mtu asiye na elimu wa miaka chini ya 40 kuingia ulaya kwa sababu wanajua watatafuta wachumba vibabu, au vi bibi juu ya ujanja ujanja ili wapate makaratasi. na pia inakuwa ni migo kwa taifa kuanza kukuhuduma au kukusomesha, na siku...
JUA UKWELI UNAUMA, AU WANASEMA MKUKI KWA NGURUWE. HUYU BASHITE NA KUJIFANYA KUKIMBILA MAKANISA YOTE NA MISIKITI ANA MATATIZO SANA MUNGU HADHIHAKIWI, ANAFANYA UONEVU KISINGIZIO NIMTUME WA MUNGU. KWANINI ASIFANYE MAZURI BILA KUJERUHI MIOYO YA WENGINE KAMA KWELI NI MTUME WA MUNGU?
KIJANA ACHA...
kaisa nje kugumu mno, unaweza pata kazi inakuingizia vizuri lkn kumbuka gharama za matumizi au mahitaji ni kubwa mno, na unatakiwa kuwa na bedget
ASIKWAMBIE MTU NJE NI KUGUMU MNO JAMANI. HASA KWA WANAUME, BORA WANAWAKE WANAOLEWA AU KUPATA MA BOYFRIEND MAISHA YANAENDA. JUA NJE KILA KITU NI...
Wee acha kukili uongo kwa wanasiasa wa upinzani, ulitakiwa kushuruku kwa unafiki wao unaokusaidia kuyajua mengi amambayo mengi bila wao yalikuwa ni sirini, nchi yoyote vyama vya siasa vina chimbu chimbu nyingi kufichua au kupendekeza mambo ambaya huwapa pressure chama tawala, sasa kwa ujinga...
Hapa mimi naona kuna ubabaishaji wa hali ya juu sana, kwa historia hii uliyoitoa nahisi kabisa umejikanyaga sana, Mheshimiwa je waweza kutuonyesha vielelezo vyako natoka primary hadi chuo kikuu? na ikiwa ulijua watu wengi hutumia majina au nafasi ya kujiendeleza kwa majia siyo yao au ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.