Recent content by doug255

  1. D

    JamiiForums Tanzania Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

    Zamani na hata katika Biblia wanawake walikua hawahesabiwi hivyo Adam na Hawa walikua na watoto wakike na hawakuandikwa na basi waliolewa na Abel na Kain
  2. D

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Wafanyabiashara/Mabalozi waahidi na kuchangia wahanga wa tetemeko la ardhi Bukoba

    Toka wiki iliopita Bukoba ilipo kubwa na Tetemeko la Ardhi siasikia wizara yoyote wala Raisi wala Bunge wala mku wamkoa kutoa pole kwa wahanga wa Tetemeko Bukoba je serekali haina taarifa au ndio wanabana matumizi wanunue Ndege nyingine....???
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kama haukuangalia hizi muvi uzaliwe tena

    KAMA HUKUWAI KUANGALIA HIZI MOVIE Tia mgomo uzaliwe upya. 1: TITANIC. 2: KING KONG...
  4. D

    JamiiForums Tanzania TCRA yafikiria kufuta mpango wa ving'amuzi kuonyesha vituo vitano bure kama huna salio

    Sioni sababu ya TCRA kuwalipa hao wenye ving'amuzi nahuku wanaweza kuweka sheria ukiweleta king'amuzi tukikupa masafa(frequency) unaonesha chanel5 za ndani buree Hoa niwafanya bihashara kwann walipwe tena inamaana hata TV yataifa TBC tutalipia...???
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Millard Ayo Aacha kazi CloudsFM

    Nasikia MillardAyo ameacha kazi Clouds FM na kapata mchongo huko Marekani 1.Amplifire hatangazi tena 2.Top20 hatangazi tena 3.Hajajihusisha hata kidogo na FIESTA kwa Website yake,FB wala Instagram 4.Istagram yake ametoa ile clouds meadia groo kaweka Broklyn, NewYork Jee ni kweli hiii....
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye mambo haya wanafanya ibada za kishetani kwa kujua au bila kujua

    Jeee imeandikwa katika kitabu chochote kitakatifuu au mambo tunayo jizusjia tuu kila wakati mtasema had kusoma ni ibada ya shetani sasaaa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yapoteza shilingi 18 bilioni kila mwaka kwa kukosa rada JNIA na KIA

    Hiyo rada sidhani kama inafika hizo billion na ikinunuliwa tutapata zaidi ya hizo billioni, sioni haja yakusubiri kuinunua
  8. D

    JamiiForums Tanzania Waislamu: Shule za Kiislamu zilifanya vizuri sana

    Waislamu wenyewe wanaojielewa wanapeleka watoto wao shule za kikristo, wengi sana nakutana nao na hawataki shule za kiislamu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mkopo ni kwa kozi za sayansi, teknolojia na walimu wa masomo ya sayansi

    Wanabana matumizi ya nn na Kodi nyingi kukusanya kama hawasomeshi watu na mikopo hawatoi bora angebaki mzee wa elimu bure tuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Wachina wana mapesa mengi, ni matajiri, wanakopesha hadi Marekani

    Kitu kizuri hiki, ila nashangaa alisema hataki mikopo na sasa anachukua
Back
Top Bottom