Recent content by Dotowangu

  1. D

    JamiiForums Tanzania natamani.................!!!

    wachaga wasirudi mjini maana foleni imepungua kwa kiasi kikubwa..........kutoka gongo la mboto hadi posta unateleza kama vile usiku wa manane....
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wapi Wanatoa huduma ya kuweka Meno Ya Bandia Dar Es Salaam

    Kaldinali=pengo.. Nenda sinza shuka kituo kiko karibu na msikiti kama utapanda magari yanayotokea shekilango ulizia maeneo hayo karibu na huo msikiti kuna technishian anatoa huduma hiyo,.,...kama ukikwama utani pm nikupe contact zake kama we ni ke.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mishahara serikalini!!

    acha kudanganya umma...katafute takwimu sahihi hazina au utumishi.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    asante kwa ushauri.....mi natrgemes kutumia productd za dynapharm..
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    nakushukuru sana mkuu....
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    asante mkuu....vipi kuhusu side effects make kiwango ninachotakiwa kubugia ni kikubwa kama vidonge 40 kwa siku......
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    asante mkuu...hivi inabidi niwe nabugia haya madawa mara kwa mara au ukishamaliza dozi ndo mwisho?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    majina ni chlorophyl, sea cucumber, green tea na kahawa mengine yana majina magum hayaandikik
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    inahusu nini mkuu?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu dynapharm products and the like..

    Habari zenu wana jf., nimepima afya kwa kutumia kifaa chao kinatumia magnetism,,report inaonesha nina magonjwa ingawa sio ya kutisha...daktari kaniandikia kutumia dawa zao ambazo ni ghali sana,. SWALI. kwa walio kwishatumia dawa hizi ni kweli hazina madhara ya papo hapo au baadae? Ushauri wenu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa blog

    www.blogspot.com au worldpress kama sijakosea..hiyo kwanza lazi uwe na gmail acount
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vipi?...

    Ha ha ha dah...sijui ni edit kidogo?.. make mheshimiwa pancrease kumbe anapiga sana...itibid nikimbilie jukwaa la siasa make kule huwa hafiki.,lol.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vipi?...

    Najaribu kufikiria kama Jamii forums ingekuwa inafanyika sehem ya wazi kama uwanja wa mpira au zaidi ya hapo na hapo kuna haya majukwaa mbali mbali kama ilivo sasa hivi na mtu unaruhusiwa kuchangia post na kumove kutoka jukwaa moja hadi jingine...sasa siwapatii picha wanaokuwa online 24/7 na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Mkuu usikimbilie kutatua tatizo tafuta kwanza nini chanzo cha kitambi? Kilitokana na nini? Anagalia vyakula unavyokula, na staili ya maisha.... kutoa kitambi sio kazi rahisi unatakiwa uwe na nidhamu katikta ukaji na kufanya mazoezi hakuna shortcut...kwa kuanzia acha tabia ya kunywa maji ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Wanafanya sana umalaya...sema sio kama vyuo vingine... Kaumba, guest h za msamvu zinawahusu sana...sema kama we hujiusishi hata kama unasoma sua huwezi jua kama watu wanabanduana sana.....umalaya hulka ya mtu tu hata kama anakimbizwa na chui libido likimpanda lazima aliondoe kwanza..
Back
Top Bottom