Kuhusu dynapharm products and the like.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu dynapharm products and the like..

Discussion in 'JF Doctor' started by Dotowangu, Jun 19, 2012.

 1. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jf., nimepima afya kwa kutumia kifaa chao kinatumia magnetism,,report inaonesha nina magonjwa ingawa sio ya kutisha...daktari kaniandikia kutumia dawa zao ambazo ni ghali sana,. SWALI. kwa walio kwishatumia dawa hizi ni kweli hazina madhara ya papo hapo au baadae? Ushauri wenu jamani kabla sijaanza kutumia.....
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mkuu ungetaja jina la/za madawa ulizopewa ungetusaidia wadau pa kuanzia!
   
 3. w

  white wizard JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  mimi kuna jamaa yangu alikwenda pale wapo radio kurasini,napo kuna ofisi zao,wakampima kwa mitambo yao(computer) wakagundua matatizo kibao mwilini mwake!wakamuandikia hizo dawa zao kama za laki 3,cha ajabu hakuona hata unafuu wowote,hadi leo anajutia pesa yake.
   
 4. M

  Moony JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Search testimonials kwenye google
   
 5. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  inahusu nini mkuu?
   
 6. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  majina ni chlorophyl, sea cucumber, green tea na kahawa mengine yana majina magum hayaandikik
   
 7. M

  Moony JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nina maana kuwa soma testimonials za wenzako waliopona ama kusaidiwa na madawa ya dynapharm.

  Chlorophyl inaondoa sumu na uchafu mwilini, sea cucumber inasaidia ukuaji wa tissues na kuhamasisha mgawanyo wa cells na kusaidia kupona vidonda na green tea hurekebisha mfumo mzima wa kukinga maradhi au immune system.
  Kwa ujumla hii ni ile tiba mbadala.
   
 8. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante mkuu...hivi inabidi niwe nabugia haya madawa mara kwa mara au ukishamaliza dozi ndo mwisho?
   
 9. M

  Moony JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Utatumia chlorophyll na nyingine za kutoa sumu kwa mwezi mmoja halafu unapumzika bila kutumia madawa hayo kwa wiki tatu au zaidi then unaanza kutumia virutubisho vingine kwa mwezi mzima au mitatu, kutegemeana na matatizo yako.

  Mamangu alipona na anaonekana kijana zaidi baada ya kutumia.
   
 10. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante mkuu....vipi kuhusu side effects make kiwango ninachotakiwa kubugia ni kikubwa kama vidonge 40 kwa siku......
   
 11. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Pamekuwa na mitazamo tofauti kuhusu dawa mbadala kuhusu utendaji wake wa kazi. mitazamo na matarajio ya watu na uharaka wa kupata outcome haraka umeweka maswali mengi kwa watu.

  Kwa uhalisia si sahihi kuziita hizi ni dawa kwasababu ki asili haziponyi kama watu wanavyo fikiri. sasa nini kanacho fanyika?

  Kwa kawaida miili yetu imeumbwa kwa mifumo yake maalum kwa ajili ya kupambana na vijidudu vya magonjwa na mifumo inayotoa taarifa pindi panapo kuwa na hitilafu katika mfumo fulani katika mwili. Kutokana na mfumo wa maisha na vyakula tunavyokuala ambavyo asilimia kubwa ni sumu mfano soda, sukari, juice za viwandani, hamira zitumikazo kutengeneze mikati na vitafunwa vingine, madawa tunayotumia tuumwapo, moshi wa magari n.k. Yote haya yameondoa mfumo wa miili yetu kujilinda yenyewe.

  Tunapokunywa dawa za hospitalini, Tunasimamisha ugonjwa usiendelee (sio kuponya). Inawezekana ugonjwa ukatoka au ukabaki pale pale lakini umesitishwa na hautasikia dalili za kuumwa, Dawa hizi za hospitali zikisha maliza kazi yake zinaacha vile vibebeo vyake ambavyo vinabaki kama sumu mwilini. mfano ili kuua vijidudu vya malaria inabidi unywe dawa ya malaria ambayo ki uhalisia ni sumu ya kuwauwa hao vijidudu, sasa ilesumu ikabaki mwili kisha ukaugua tena, ukanywa dawa hiyo kisha tena na tena? sumu ina baki nyingi mwilini.

  Kinachoitwa dawa mbadala ni vyakula na matunda pamoja na viungo vya asili ambavyo havija haribiwa na madawa ya kisasa. Mwili unapopata hivi unajikarabati wenye na kuamsha ile kinga yake ya asili. Sasa inategea wewe kama mgonjwa umeathirika na ugonjwa wako kiasi gani, na umetumia dawa za kisasa kwa muda gani. Kwa mfano itakuhijaji ule tangawizi kila siku kwa miaka mitano au saba uli kuamsha sehemu fulani ya mfumo wa mwili kuwa nomo, sasa hii itakuwa ni muda mrefu.

  INAKUWA HIVI: Wataalamu wa dawa mbadala wanachukua tangawizi na kuindaa kama kidonge au dawa ya maji ambayo vipimo vyake ni sawa na kula idadi fulani ya tangawizi kwa miaka kadhaa. Ukiweza kutumia dawa hizo kwa kiwango na muda uliopewa na utaratibu na masharti, ukawa mvumilivu wa muda, mfumo wa mwili utakurudi katika uhalisia wake na kupambana na ugonjwa wako.  Tatizo kwa watu wengi ni MUDA.
   
 12. REX

  REX JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ushauri!,kabla haujatumia hivyo virutubisho jaribu kufuatililia kwa makin sana kampun hizo na ufanye uamuz wako.kampun nyingine vitu vyao vina madhara tena makubwa tu.
   
 13. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nakushukuru sana mkuu....
   
 14. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante kwa ushauri.....mi natrgemes kutumia productd za dynapharm..
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Naomba useme ni dawa gani umeambiwa utumie maana kuna dawa nyingi za dynapharm kama chlorophyll,tongkat al,sea cumbe,man cream,red coffe,garnoderma coffee,seucumber,body contour cream. Ziko nyingi sana sema nitakushauri na uniambie umepimia kituo gani kama uko dar au morogoro.
   
 16. M

  Moony JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Waone wataalamu wa Dynapharm na wala si wale wauzaji watakueleza vizuri. kila kitu kina side effect nzuri ama mbaya kama ilivyo SEX.

  Pia dawa zao huwa na reaction ambazo mara nyingi huwa ni dalili za 'healing crisis'
   
Loading...