Recent content by dotobilyanguze

  1. D

    JamiiForums Tanzania Makonda: Taratibu za kumwita bungeni zifuatwe

    Tangu hiki kivulana cha dar kilipompiga warioba nilikidhalau
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya kidato cha nne,Serikali na Wizara husika viwajibike.Tutatengeneza Taifa bovu

    Nipo najadili hapa....vitu tulivyojifunza kwenye shule za ufundi enzi hizo...leo hii hakuna kitu...shule zote zimekwisha....
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya: Hospitali ya Kairuki yashindwa kulipa mishahara ya Januari

    Mihuri umeambiwa ni barua???
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kero ATM za CRDB Mbezi Louis

    Kuna kijana mle ndani mrefu mweupe anajibu ovyo.....yule kama amepewa kazi kwa sifa za taller ajitazame hajui customer care ipo siku atapigwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Open your mind...hatutaki mawaziri ndumilakuwili....tatizo si kupanda kwa umeme...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Wewe mama hebu achana na huyo mwandishi wa gazeti....twende kwenye hoja... inawezekanaje tanesco kupitisha bei ya umeme bila kushauliana na waziri??? Na je huu mpango ulipita siku moja...??? Kama hujui au kama unajua kupanda kwa bei ya umeme au bei ya maji si swala la siku moja au mwezi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Niliwahi kuhoji hiki kitu...kwamba tanesco wakamilishe mchakato wa kupandisha bei bila waziri kujua.....
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wasidhanie kumfunga Lijualikali wanamuondolea sifa za kuwa Mbunge

    Umefanya sensa lini....
  9. D

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Mkuu me nimchaguliwa kupiga apo kpiga bachalor vip khusu hostel zipo au majanga tuuu
Back
Top Bottom