Kero ATM za CRDB Mbezi Louis

Kero ATM za CRDB Mbezi Louis

Goodrich

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
2,091
Reaction score
1,179
Kuna tatizo ATM za CRDB Mbezi Louis

1. Mara nyingi ikifika mida ya jioni/usiku geti linafungwa kwa kufuli, na hivyo kuwakosesha huduma za ATM wateja.
2. Mara nyingi ATM zinakuwa mbovu au hazina cash

Naomba mtatue kero hizo za msingi, ni usumbufu.
 
Kweli kabisa..
Sijui kwanini atm zipo ndani ya geti..
Pale kuna atm machine 4 lkn ni nadra sana ukute zinafanya kazi zote
 
Kuna kijana mle ndani mrefu mweupe anajibu ovyo.....yule kama amepewa kazi kwa sifa za taller ajitazame hajui customer care ipo siku atapigwa...
 
Hivi mpaka sasa?ni mwaka sasa tokea nihame mitaa hiyo na hali ilikuwa hivyo hivyo.
 
Niliwahi kwenda mitaa hiyo kula weekend na familia...Kidogo niabike
Nilifikiri tatizo la siku moja,kumbe ni la kudumu...Lkn eneo lile si lipo kwenye muendelezo wa bomoabomoa?
 
Back
Top Bottom